-
Orodha ya al Abadi inaongoza katika uchaguzi Iraq; matokeo ya awali yaonyesha
May 13, 2018 11:14Duru kutoka katika Tume Kuu Huru ya Uchaguzi ya Iraq leo imearifu kuwa orodha ya al Nasr yenye mfungamano na Haidar al Abadi Waziri Mkuu wa nchi hiyo inaongoza matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge yaliyotangazwa hadi sasa.
-
Nabih Berri: Umoja wa Kitaifa ndiyo matunda halisi ya uchaguzi wa bunge Lebanon
May 07, 2018 10:51Spika wa Bunge la Lebanon amesisitiza baada ya kutangazwa matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge nchini humo kwamba: Umoja wa kitaifa ndiyo matunda na mafaniko halisi ya uchaguzi wa bunge; ambayo yamepatikana kufuatia sheria mpya ya uchaguzi.
-
Chama cha Kiislamu cha al Nahdha chadai kushinda uchaguzi Tunisia, matokeo rasmi kutangazwa Mei 9
May 07, 2018 10:42Chama chenye mielekeo ya Kiislamu cha al Nahdha kimedai kuwa kimeshinda katika uchaguzi wa mabaraza ya miji uliofanyika jana Jumapili nchini Tunisia.
-
Uchaguzi wa kwanza wa mabaraza ya miji Tunisia baada ya kupinduliwa dikteta wa nchi hiyo
May 05, 2018 22:03Uchaguzi wa kwanza wa mabaraza ya miji nchini Tunisia baada ya kujirti mapinduzi ya wananchi yaliyomg'oa madarakani dikteta wa nchi hiyo mwaka 2011 unafanyika leo Jumapili tarehe 6 Mei.
-
Maadamano ya wananchi Madagascar yailazimu mahakama kuu kufuta sheria mpya ya uchaguzi
May 04, 2018 23:59Hatimaye Mahakama Kuu ya Katiba nchini Madagascar imefuta sehemu ya sheria mpya ya uchaguzi iliyoibua hivi karibuni ghasia na maandamano ya wananchi.
-
Uungaji mkono wa Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya kwa takwa la kamati ya pande nne
May 03, 2018 02:30Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imetangaza uungaji mkono wake kwa takwa la kamati ya pande nne la kuyakubali matokeo ya uchaguzi ujao katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Nouri al-Maliki: Saudia inapanga njama ya kuharibu uchaguzi ujao nchini Iraq
Apr 25, 2018 23:10Makamu wa Rais wa Iraq Nouri al-Maliki amesema Saudi Arabia inafanya kila iwezalo kupitia fedha na propaganda za vyombo vya habari kuharibu matokeo ya uchaguzi ujao nchini humo.
-
Nusu ya Makamishna wa Tume ya uchaguzi Kenya wajiuzulu
Apr 16, 2018 03:34Mgogoro ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya IEBC unaendelea kutokota huku nusu ya makamishna wa tume hiyo wakitangaza kujiuzulu.
-
Rais wa Algeria ajitokeza hadharani baada ya miaka mingi
Apr 10, 2018 12:07Rais Abdelazizi Bouteflika wa Algeria amejitokeza hadharani baada ya miaka mingi kutoonekana kadamnasi kutokana na hali yake mbaya ya kiafya.
-
Kiongozi wa upinzani Sierra Leone ajitangaza mshindi wa urais
Apr 03, 2018 22:00Jeshi la Sierra Leone limekadhibisha tuhuma za kula njama ya kumuua kiongozi wa upinzani nchini humo, Brigedia Julius Maada Bio ambaye anadai kuwa ameibuka mshindi katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais.