-
Trump atoa vitisho dhidi ya Afghanistan endapo Taliban haitaikabidhi US kituo cha anga cha Bagram
Sep 21, 2025 03:24Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuchukua hatua kali ambazo hakuzitaja iwapo serikali ya Taliban nchini Afghanistan itakataa kukabidhi kituo cha jeshi la anga cha Bagram, ambacho kilitelekezwa wakati majeshi ya Marekani. yalipoondoka kifedheha katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Taliban yamjibu Trump: Tunaweza kuzungumza, lakini Marekani haitaruhusiwa kuwepo tena kijeshi Afghanistan
Sep 19, 2025 11:05Serikali ya Afghanistan inayoongozwa na Taliban imetupilia mbali wito wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kutaka jeshi la nchi hiyo lirejee Afghanista na kupatiwa tena kambi ya jeshi la anga ya Bagram.
-
Afghanistan yaendelea kuwasaka manusura huku walioaga dunia kufuatia zilzala nchini humo wakifika 1,100
Sep 02, 2025 11:21Idadi ya waliofariki dunia kutokana na tetemeko la ardhi lililoikumba Afghanistan imefikia 1,124. Taasisi ya Hilali Nyekundu la Afghanistan imeripoti kuwa timu za uokoaji zinaendelea kuzunguka eneo la milimani la nchi hiyo kutafuta manusura.
-
Jumamosi, 31 Mei, 2025
May 31, 2025 02:20Leo ni Jumamosi 4 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1446 Hijria sawa na 31 Mei 2025 Miladia.
-
Iran: Wakimbizi wa Afghanistan watarejeshwa kwao kwa heshima
Mar 25, 2025 06:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, viongozi wa Iran na Afghanistan wameandaa utaratibu mzuri wa pamoja wa kuwawezesha wakimbizi wa Afghanistan waliopo nchini Iran warejee nchini kwao kwa heshima.
-
Jumamosi, 15 Februari, 2025
Feb 15, 2025 02:40Leo ni Jumamosi 16 Shaaban 1446 Hijria mwafaka na 15 Februari 2025 Miladia.
-
Afghanistan: Pakistan imefanya mashambulio ya anga, yameua na kujeruhi raia wengi wakiwemo watoto
Dec 25, 2024 06:53Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la Pakistan limefanya mashambulizi ya anga katika jimbo la Paktika mashariki, na kuua na kuwajeruhi raia kadhaa, "wengi wao wakiwa wakimbizi kutoka Waziristan."
-
Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko nchini Afghanistan yafikia watu 400
May 19, 2024 10:42Idadi ya vifo vilivyosababishwa na mvua kubwa na mafuriko yaliyoikumba Afghanistan imefikia 400 baada ya watu wengine 18 kufariki dunia kutokana na mafuriko hayo.
-
Amir Abdollahian: Kuendelea uingiliaji wa Marekani nchini Afghanistan kunatatiza zaidi hali ya nchi hiyo
May 14, 2024 05:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kuendelea uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Afghanistan kutafanya hali ya mambo ya nchi hiyo kuwa ngumu zaidi.
-
Mvua kali za mafuriko zaua watu wasiopungua 168 Pakistan na Afghanistan
Apr 20, 2024 10:41Watu wasiopungua 168 wamepoteza maisha katika matukio yaliyosababishwa na mvua, baada ya mvua kali na mafuriko kuikumba Pakistan na nchi jirani ya Afghanistan.