Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Taliban wasema wako tayari kushiriki kwenye serikali ya mpito ya Afghanistan

    Taliban wasema wako tayari kushiriki kwenye serikali ya mpito ya Afghanistan

    Aug 12, 2021 21:54

    Kundi la Taliban limetangaza kuwa liko tayari kushiriki katika serikali ya mpito ya Afghanistan.

  • Vita vyashtadi Afghanistan huku Taliban ikiteka miji mikuu ya majimbo sita ndani ya siku nne

    Vita vyashtadi Afghanistan huku Taliban ikiteka miji mikuu ya majimbo sita ndani ya siku nne

    Aug 09, 2021 22:03

    Mapigano makali yanaendelea kuripotiwa nchini Afghanistan baina ya vikosi vya jeshi la serikali na wanamgambo wa kundi la Taliban huku kundi hilo likiripotiwa kuwa limefanikiwa kuteka miji mikuu ya majimbo sita ndani ya muda wa siku nne.

  • Zarif: Jamii ya kimataifa ichukue msimamo wa wazi kuhusu ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Afghanistan

    Zarif: Jamii ya kimataifa ichukue msimamo wa wazi kuhusu ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Afghanistan

    Aug 08, 2021 21:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa jamii ya kimataifa inapasa kuchukua msimamo wa wazi wa kuunga mkono utatuzi wa kisiasa wa mgogoro huko Afghanistan na kulaani machafuko na athari zake mbaya.

  • Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu Afghanistan

    Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu Afghanistan

    Aug 07, 2021 06:58

    Kikao maalumu cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu machafuko yanayoendelea nchini Afghanistan kilifanyika jana Ijumaa mjini New York.

  • John Sopko: Washington haikujifunza kutokana na makosa yake huko Afghanistan

    John Sopko: Washington haikujifunza kutokana na makosa yake huko Afghanistan

    Aug 01, 2021 06:25

    Inspekta Jenerali Maalumu wa Marekani katika Ujenzi Mpya wa Afghanistan amesema kuwa, nchi hiyo haijapata ibra na funzo kutokana na makosa yake katika vita vya Afghanistan.

  • Mafuriko yaua makumi ya watu Afghanistan, 150 hawajulikani waliko

    Mafuriko yaua makumi ya watu Afghanistan, 150 hawajulikani waliko

    Jul 30, 2021 08:05

    Makumi ya watu wamepoteza maisha huku wengine wengi wakitoweka kutokana na mafuriko makubwa yaliyoikumba Afghanistan.

  • Lavrov: Russia haina mpango wa kutuma wanajeshi Afghanistan

    Lavrov: Russia haina mpango wa kutuma wanajeshi Afghanistan

    Jul 22, 2021 22:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza kuwa, nchi hiyo haina mpango wa kutuma wanajeshi Afghanistan.

  • Kufichuliwa engo mpya wa ushirikiano wa Marekani na kundi la Daesh nchini Afghanistan

    Kufichuliwa engo mpya wa ushirikiano wa Marekani na kundi la Daesh nchini Afghanistan

    Jul 22, 2021 07:00

    Zamir Kabulov, mjumbe wa Rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amesema katika mkutano wa Valdai Discussion Club kwamba: Askari wa Marekani na waitifaki wake walikuwa na mawasiliano na ushirikiano na kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan.

  • Hamu ya wanamgambo wa Taliban ya kutatuliwa matatizo ya Afghanistan kupitia njia ya mazungumzo

    Hamu ya wanamgambo wa Taliban ya kutatuliwa matatizo ya Afghanistan kupitia njia ya mazungumzo

    Jul 19, 2021 10:14

    Kundi la wanamgambo wa Taliban limetoa ujumbe kwa mnasaba wa kuwadia sikukuu ya Eidul-Haj na kuonyesha hamu na shauku lilionayo ya kupatiwa ufumbuzi matatizo ya Afghanistan kwa njia ya mazungumzo.

  • China yaishambulia kwa maneno Marekani kwa kuchochea machafuko Afghanistan

    China yaishambulia kwa maneno Marekani kwa kuchochea machafuko Afghanistan

    Jul 15, 2021 23:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China ametoa maneno makali dhidi ya Marekani na kusema kuwa, viongozi wa Washington ndio wanaopaswa kubeba lawama ya mgogoro wa hivi sasa wa Afghanistan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS