-
Mbunge Mmarekani akiri kushindwa vibaya nchi yake huko Afghanistan
Jul 12, 2021 22:04Mbunge mmoja wa chama cha Republican cha Marekani amekiri kuwa Washington imeshindwa vibaya nchni Afghanistan na ametaka wanajeshi wa Marekani warudishwe haraka nchini humo.
-
Asilimia 73 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhitimishwa miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu Afghanistan
Jul 11, 2021 21:56Sambamba na kuendelea harakati za Washington za kuwaondoa wanajeshi wake huko Afghanistan, matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Marekani unaonyesha kuwa akthari ya wananchi wa Marekani wanaunga mkono kuhitimishwa miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu Afghanistan.
-
Taarifa ya Kikao cha Mazungumzo Baina ya Waafghani mjini Tehran
Jul 08, 2021 06:31Mazungumzo ya amani ya Afghanistan ambayo yamekuwa yakifanyika baina ya Waafghani hapa Tehran kwa siku mbili yamemalizika kwa kutolewa taarifa ya pamoja.
-
Mazungumzo baina ya Waafghani; njia pekee ya kutatua matatizo na changamoto zilizopo
Jul 08, 2021 05:46Mazungumzo ya pande tatu kati ya jumbe za Afganistan na Iran yamefanyika mjini Tehran kwa madhumuni ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa nchi hiyo kwa kutegemea mazungumzo baina ya makundi tofauti ya nchi hiyo.
-
Sergei Lavrov: Kuondoka Marekani nchini Afghanistan ni kukiri kushindwa
Jul 08, 2021 03:46Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa, kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini Afghanistan kimsingi ni kukiri wazi kugonga mwamba majukumu yake katika nchi hiyo.
-
Taliban yapongeza kuondoka askari wa Marekani Bagram
Jul 02, 2021 22:14Kundi la Taliban limesema Afghanistan imepiga hatua moja mbele kuelekea katika amani na uthabiti, wakati huu ambapo Marekani inawaondoa wanajeshi wake wote nchini humo.
-
Ujerumani yakamilisha mchakato wa kuondoa askari wake Afghanistan; US?
Jun 30, 2021 06:40Ujerumani imetangaza kuwa imemaliza mchakato wa kuwaondoa wanajeshi wake huko Afghanistan, huku Marekani ikiripotiwa kuwa inapanga kuwaacha mamia ya wanajeshi wake nchini humo.
-
Tsunami ya kujiua katika jeshi la Marekani, nembo ya mgogoro wa kinafsi na kimaadili
Jun 26, 2021 10:31Ripoti ya karibuni ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inaonesha ongezeko la visa vya kujiua kati ya wanajeshi wa nchi hiyo hususan maveterani wa jeshi.
-
Kundi la Taliban la Afghanistan lasema, halina uadui na Waislamu wa Kishia
Jun 26, 2021 02:47Msemaji wa kundi la Taliban la Afghanistan amesema kuwa, kundi hilo halina uadui na Waislamu wa Kishia nchini humo na halitofanya ubaguzi wowote dhidi yao.
-
Pendekezo la Waziri Mkuu wa Pakistan la kumalizwa mgogoro wa miaka mingi wa Afghanistan
Jun 23, 2021 07:32Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan ametoa pendekezo la kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Afghanistan kwa ajili ya kumaliza mgogoro wa miaka mingi wa nchi hiyo.