-
Watu 11 wamepoteza maisha katika mlipuko wa bomu kando ya barabara huko Afghanistan
Jun 06, 2021 03:24Ripoti kutoka Afghanistan zinasema kuwa, watu wasiopungua 11 wameuawa kaskazini mwa nchi hiyo baada ya gari lao kuripuliwa na bomu la kutegwa ardhini jana Jumamosi.
-
Jumatatu, Mei 31, 2021
May 30, 2021 21:56Leo ni Jumatatu tarehe 19 Mfunguo Mosi Shawwal 1442 Hijria sawa na Mei 31 mwaka 2021 Milaadia.
-
Wanaharakati: UN itambue mauaji ya Mashia Afghanistan kuwa ni mauaji ya kimbari
May 19, 2021 22:05Wanaharakati wa haki za binadamu na utamaduni nchini Afghanistan wameutaka Umoja wa Mataifa utambue rasmi mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan katika miaka ya hivi karibuni kuwa ni mauaji ya kimbari.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi lililoua 30 Afghanistan
May 08, 2021 22:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililoa makumi ya watu katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Taliban wateka bwawa muhimu huku mapigano makali yakiwa yanaendelea Afghanistan
May 06, 2021 21:52Kundi la Taliban limeteka bwawa la pili kwa ukubwa na umuhimu nchini Afghanistan katika mapigano makali na vikosi vya jeshi la serikali kwenye mkoa wa Kandahar huku jeshi vamizi la Marekani likiwa limeanza kuwaondoa askari wake tangu ilipoivamia kijeshi nchi hiyo miaka 20 iliyopita.
-
Madai ya Rais Biden ya kudhoofika al-Qaeda na kukabiliana na ugaidi
May 04, 2021 06:34Rais Joe Biden wa Marekani Jumapili iliyopita alidai sambamba na kuanza kuondoka askari wa Marekani nchini Afghanistan baada ya miongono miwili kwamba, Washington itaendelea kufuatilia nyendo za magaidi na kusambaratisha aina yoyote ile ya tishio la ugaidi nchini Afghanistan.
-
Uvamizi na vita vya miaka 20 vya Afghanistan vimeigharimu Marekani dola trilioni mbili
May 02, 2021 22:17Ripoti iliyotolewa na kanali ya televisheni ya ABC News ya Marekani imeeleza kuwa, uvamizi wa kijeshi na vita vya miaka 20 vilivyoanzishwa na Marekani nchini Afghanistan vimegharimu takriban dola trilioni mbili na vifo vya watu wapatao laki moja na 20 elfu.
-
Kwa kuamua kuondoa wanajeshi wake, Marekani imekiri kushindwa kikamilifu Afghanistan
Apr 28, 2021 03:21Mtaalamu mmoja wa masuala ya kisiasa nchini Pakistan amesema, uamuzi wa Marekani wa kuwaondoa wanajeshi wake nchini Afghanistan ni sawa na Washington kukubali kuwa imeshindwa mtawalia kwa muda wa miaka 20 ya kuwepo kwake kijeshi nchini humo.
-
Kuanza mchakato wa kuondoka askari wa Marekani na wa NATO kutoka nchini Afghanistan
Apr 26, 2021 23:51Jenerali Austin Scott Miller, kamanda wa askari wa Marekani na wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) nchini Afghanistan alitangaza Jumapili iliyopita katika mkutano wake na waandishi wa habari kwamba, mchakato wa kuondoka wanajeshi wa Marekani na wa NATO huko Afghanistan umeanza katika baadhi ya vituo vya kijeshi nvya nchi hiyo na kwamba, vituo vyote vya kijeshi vitakabidhiwa kwa vikosi vya Kiafghani.
-
Pentagon: Wanajeshi wa Marekani wanashambuliwa kwa "nishati na mawimbi yanayoongozwa kutoka mbali"
Apr 25, 2021 06:17Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imedai kuwa, wanajeshi wa nchi hiyo wanashambuliwa na nchi za Russia na China kwa kutumia mawimbi na nishati yanayoongozwa kutoka mbali.