Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Rais wa Afghanistan: Taifa letu halitaporomoka kwa kuondoka askari wa Marekani

    Rais wa Afghanistan: Taifa letu halitaporomoka kwa kuondoka askari wa Marekani

    Apr 19, 2021 03:14

    Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan ameashiria uamuzi uliotangazwa hivi karibuni na Rais wa Marekani Joe Biden wa kuwaondoa askari wa jeshi la nchi hiyo walioko nchini Afghanistan na kusisitiza kuwa, taifa hilo kamwe halitaporomoko kwa kuondoka wanajeshi hao vamizi wa US.

  • Mkuu wa CIA: Marekani inajitia hatarini kuwaondoa askari nchini Afghanistan

    Mkuu wa CIA: Marekani inajitia hatarini kuwaondoa askari nchini Afghanistan

    Apr 15, 2021 08:15

    Mkuu wa shirika la ujasusi la Marekani CIA amesema, nchi hiyo inajihatarisha kwa kuchukua uamuzi wa kuwaondoa askari wake nchini Afghanistan.

  • Jeshi la Afghanistan lasema limeua wanachama 104 wa Taliban

    Jeshi la Afghanistan lasema limeua wanachama 104 wa Taliban

    Apr 06, 2021 22:55

    Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limewaua wanachama zaidi ya 100 wa kundi la Taliban ndani ya saa 24.

  • Taliban yakataa mpango wa uchaguzi wa mapema uliopendekezwa na Rais wa Afghanistan

    Taliban yakataa mpango wa uchaguzi wa mapema uliopendekezwa na Rais wa Afghanistan

    Mar 24, 2021 08:27

    Kundi la Taliban limeukataa mpango uliopendekezwa na Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan wa kuitisha uchaguzi wa mapema.

  •  Hujuma ya kigaidi yaua watu 8 katika hujuma Herat, Afghanistan

    Hujuma ya kigaidi yaua watu 8 katika hujuma Herat, Afghanistan

    Mar 14, 2021 07:51

    Watu wasiopungua wanane wameuawa na wengine 47 kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi mkoani Herat magharibi mwa Afghanistan.

  • Utayarifu wa serikali ya Afghanistan wa kushiriki kikao cha amani cha mjini Moscow, Russia

    Utayarifu wa serikali ya Afghanistan wa kushiriki kikao cha amani cha mjini Moscow, Russia

    Mar 13, 2021 23:04

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Afghanistan imetangaza kuwa ujumbe unaoiwakilisha serikali ya nchi hiyo utashiriki katika kikao cha amani kuhusu Afghanistan kilichopangwa kufanyika huko Moscow mji mkuu wa Russia.

  • Lavrov: Lengo la kikao cha Afghanistan huko Russia ni kusaidia mazungumzo kati ya Waafghani huko Qatar

    Lavrov: Lengo la kikao cha Afghanistan huko Russia ni kusaidia mazungumzo kati ya Waafghani huko Qatar

    Mar 12, 2021 23:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, mazungumzo ya amani ya Afghanistan huko Moscow mji mkuu wa Russia si kwa ajili ya kuyashindanisha na mazungumzo ya makundi ya Kiafghani huko Qatar ; bali yatafanyika kwa ajili ya kusaidia mchakato huo.

  • Msimamo wa Rais wa Ashraf Ghani kuhusu kutokuwa na uhusiano vita vya Afghanistan na mafundisho ya Uislamu

    Msimamo wa Rais wa Ashraf Ghani kuhusu kutokuwa na uhusiano vita vya Afghanistan na mafundisho ya Uislamu

    Mar 01, 2021 23:12

    Rais wa Afghanistan amesema kuwa, vita vya nchi hiyo havina uhusiano wowote na Uislamu, haki na ubinadamu.

  • Mabilioni ya dola yapotea katika vita vya Marekani huko Afghanistan

    Mabilioni ya dola yapotea katika vita vya Marekani huko Afghanistan

    Mar 01, 2021 08:44

    Wasimamizi wa serikali ya Marekani wametoa ripoti na kukiri juu ya kupotea mabilioni ya dola fedha zilizotumika katika vita vya miaka 20 vya nchi hiyo huko Afghanistan.

  • Taliban yaonya kuwa itaanzisha tena vita kamili dhidi ya Marekani nchini Afghanistan

    Taliban yaonya kuwa itaanzisha tena vita kamili dhidi ya Marekani nchini Afghanistan

    Feb 27, 2021 03:01

    Msemaji wa Taliban amesema, kundi hilo halitakubali kuangaliwa upya au kufanywa mazungumzo tena kuhusu mapatano ya Qatar iliyofikia Marekani; na endapo Marekani itayakiuka mapatano hayo, huo utakuwa ni uanzishaji wa vita vipya nchini Afghanistan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS