-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan nchini Russia
Feb 25, 2021 23:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan ameelekea Moscow, mji mkuu wa Russia kwa madhumuni ya kufanya mazungumzo ya mashauriano na kubadilishana mawazo na viongozi wa Moscow kuhusu mchakato wa amani wa nchi yake na masuala ya kikanda.
-
Biden na machaguo yaliyo mbele yake kuhusu Afghanistan
Feb 22, 2021 23:20Mullah Baradar, mkuu wa ujumbe wa Taliban katika mazungumzo ya amani ameitaka Marekani iheshimu mapatano iliyofikia na kundi hilo kuhusu kuwaondoa askari wake nchini Afghanistan na akaonya kuwa, Taliban haitavumilia uingiliaji wa majeshi ya kigeni nchini humo.
-
Pentagon: Wanajeshi wa Marekani wataendelea kuhudumu huko Afghanistan
Feb 20, 2021 04:21Katika hali ambayo serikali iliyotangulia ya Washington iliahidi kuwa, wanajeshi wa Marekani wataondoka Afghanistan hadi kufikia mwezi Mei mwaka huu; Mkuu wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) ametangaza kuwa bado uamuzi haujachukuliwa kuhusu suala hilo na hivi sasa wanajeshi wao wanaendelea kuwepo huko Afghanistan.
-
Jumatatu tarehe 15 Februari mwaka 2021
Feb 14, 2021 21:53Leo ni Jumatatu tarehe tatu Rajab 1442 Hijria sawa na Februari 15 mwaka 2021.
-
Jeshi la Afghanistan laua wanachama 153 wa Taliban
Feb 13, 2021 07:40Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limewaua wanachama zaidi ya 150 wa kundi la Taliban katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Maandamano ya wakazi wa Kabul ya kuunga mkono mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Afghanistan
Feb 06, 2021 23:10Wananchi wanaoishi Kabul mji mkuu wa Afghanistan wamefanya maandamano makubwa wakiunga mkono mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na katiba ndani ya nchi hiyo.
-
Marekani yakataa kuondoa kikamilifu wanajeshi wake walioko Afghanistan
Jan 30, 2021 23:21Marekani imetazama upya aghalabu ya sera na hatua za serikali iliyotangulia ya Trump baada ya kuingia madarakani serikali mpya ya Joe Biden. Siasa za Washington kuhusu Afghanistan na kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini humo ni kati ya masuala hayo.
-
Majaji wawili wanawake wauawa kwa kupigwa risasi katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul
Jan 18, 2021 01:18Watu wenye silaha wasiojulikana wamewaua kwa kuwapiga risasi majaji wawili wanawake katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Kukosoa serikali ya Afghanistan hatua ya Taliban ya kuwalenga wananchi katika mashambulio yake
Dec 29, 2020 23:17Serikali ya Afghanistan imekosoa vikali hatua ya kundi la wanamgambo wa Taliban ya kuwalenga kwa mashambulio wanaharakati wa kiraia, shakhsia mbalimbali na wanahabari na kueleza kwamba, hicho ni kilele cha udhalili wa kundi hilo.
-
Khatibzadeh: Mizozo ya Afghanistan inaweza kupatiwa ufumbuzi kwa njia za kisiasa
Dec 28, 2020 08:52Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njia ya kuipatia ufumbuzi mizozo na mivutano inayoikabili Afghanistan ni utatuzi wa kisiasa.