-
Safari ya Miller Afghanistan; juhudi za Marekani za kutaka kuendelea kuwepo kijeshi nchini humo
Dec 24, 2020 00:02Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani juzi Jumanne alielekea mji mkuu wa Afghanistan Kabul katika safari ya ghafla ambayo haikutangazwa kabla na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Muhammad Ashraf Ghani.
-
Madaktari wanne na mpita njia wauawa katika hujuma ya kigaidi Afghanistan
Dec 22, 2020 21:23Madaktari wanne na mpita njia wameuawa Jumanne katika hujuma ya kigaidi katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Shamkhani: Kuondoka Marekani katika eneo ni fursa ya kupatikana amani na usalama wa kudumu
Dec 22, 2020 10:00Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema, kuondoka Marekani katika eneo la Asia Magharibi kutaandaa mazingira ya kurejeshwa amani na usalama wa kudumu.
-
Kufanyika kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Maslahi ya Taifa la Afghanistan
Dec 07, 2020 05:49Washiriki wa kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Maslahi ya Taifa la Afghanistan wametilia mkazo kutumiwa fursa za ndani kwa ajili ya kufikia suluhu na kupatikana amani nchini humo badala ya kuwategemea wageni.
-
Rais wa Afghanistan: Mazungumzo ya amani yamefikia hatua nyeti na hasasi
Dec 06, 2020 04:15Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan amesema, awamu iliyofikiwa hivi sasa katika mazungumzo ya kutafuta suluhu na kurejesha amani nchini humo kati ya serikali na kundi la Taliban ni hasasi na muhimu sana.
-
Iran: Shambulio la kigaidi la Kabul ni mfano wa vita vya niaba vya Marekani nchini Afghanistan
Nov 22, 2020 00:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, shambulio la kigaidi la Kabul ni mfano mmojawapo wa vita vya niaba na hatua zinazochukuliwa na waitifaki wa utawala wa kigaidi wa Marekani nchini Afghanistan.
-
Hitilafu katika kambi ya Warepublican kuhusu kuondolewa askari wa Marekani Asia Magharibi
Nov 17, 2020 22:53Uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuondolewa askari wa nchi hiyo katika eneo la Asia Magharibi hususan Afghanistan na Iraq ambao unatarajiwa kutangazwa katika siku za usoni na iliyokuwa moja ya ahadi muhimu za Trump umekabiliwa na upinzani mkali wa chama chake cha Repulican katika Kongresi ya nchi hiyo.
-
Tuhuma za kutumika ardhi ya Afghanistan katika kushambuliwa nchi nyingine zakanushwa
Nov 17, 2020 00:22Serikali ya Afghanistan imekanusha tuhuma za kutumika ardhi ya nchi hiyo kufanya mashambulizi dhidi ya nchi nyingine.
-
Jeshi la Afghanistan laikosoa Marekani kwa kutotoa ushirikiano katika mapambano dhidi ya ugaidi
Nov 13, 2020 02:33Mkuu wa vikosi vya jeshi la Afghanistan amesema kuwa Marekani haitoa ushirikiano wowote kwa jeshi hilo katika mapambano dhidi ya kundi la Taliban na magenge ya magaidi.
-
Kukosoa Maulamaa wa Afghanistan kimya cha Saudi Arabia mbele ya kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW
Nov 01, 2020 23:02Maulamaa nchini Afghanistan wamekosoa vikali kimya cha Saudi Arabia mbele ya kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW.