-
Kusambaratika miundombinu ya uchumi wa Afghanistan katika miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu na Marekani
Nov 18, 2022 02:19Waziri wa Uchumi wa serikali ya wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan amesema kuwa, miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu nchi hiyo na wanajeshi wa Marekani ndio sababu kuu ya kusambaratika miundombinu ya uchumi wa nchi hiyo.
-
Kukaribia kumalizika muhula wa serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan
Nov 08, 2022 02:27Msemaji wa serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan amesema kipindi cha uongozi wa serikali hiyo kitamalizika baada ya muda si mrefu ujao.
-
Pongezi za Abdulllah Abdullah kwa uungaji mkono na misaada ya Iran kwa Afghanistan
Nov 06, 2022 06:56Mkuu wa zamani wa Baraza Kuu la Maslahi ya Taifa la Afghanistan amepongeza na kushukuru misaada na uungaji mkono wa serikali na wananchi wa Iran kwa Afghanistan khususan kwa kuwasaidia wakimbizi wa nchi hiyo.
-
Taliban: Ghairi ya Ashraf Ghani tumewatolea mwito shakhsia wote Waafghani wa kurudi nchini
Oct 23, 2022 11:52Msemaji wa tume ya serikali ya Taliban ya kuwasiliana na shakhsia wa Afghanistan waliokimbilia nje ya nchi amesema, ukiondoa rais wa zamani Ashraf Ghani, tume hiyo imewatumia salamu za kuwataka warudi nyumbani shakhsia wengine wote wa nchi hiyo walioko ughaibuni.
-
Sera mpya za Marekani Afghanistan
Oct 09, 2022 02:20Karen Decker Kaimu Balozi wa Marekani nchini Afghanistan amesema kuwa ni jambo lililo mbali kwa nchi yake kurejea tena kijeshi huko Afghanistan.
-
Jeshi la Marekani limeua raia wasiopungua 71,000 nchini Afghanistan
Oct 07, 2022 11:34Askari wa jeshi vamizi la Marekani wameua raia wasiopungua elfu 71 wa Afghanistan katika kipindi cha miaka ishirini ya kuikalia kwa mabavu ardhi ya nchi hiyo.
-
Makumi wauawa katika mripuko mwingine wa bomu msikitini Kabul
Oct 06, 2022 03:03Makumi ya watu wamepoteza maisha katika shambulio la bomu lililolenga msikiti mmoja huko Kabul, mji mkuu wa Afghanistan, kwenye ua wa Wizara ya Mambo ya Nje ya serikali ya Taliban.
-
Mauaji ya Hazara wa Afghanistan na sera za kindumakuwili za nchi Magharibi
Oct 05, 2022 07:12Idadi kubwa ya wanawake na wasichana wa Afghanistan wamefanya maandamano katika eneo la Dashte Barchi magharibi mwa Kabul, wakidai haki zao na kukomeshwa kwa mashambulizi ya kigaidi dhidi ya kaumu ya Hazara.
-
Russia na China zinataka kuachiliwa fedha za Afghanistan zilizozuiwa
Sep 29, 2022 07:53Wawakilishi wa Russia na China wametaka kuachiwa huru fedha zote za Afghanistan zilizozuiwa. Wamebainisha hayo katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Kupenda vita Marekani duniani; urithi wa tukio la Septemba 11
Sep 12, 2022 08:21Jumapili ya jana tarehe 11 Septemba ilisadifiana na kutimia miaka 21 tangu kutokea mashambulio ya kigaidi ya Septemba 11 ambapo hadi sasa Marekani ingali imeshughulishwa na matokeo ya tukio hili lenye kuainisha hatima.