-
UNICEF yaitaka serikali ya Taliban ifungue skuli zote za wasichana Afghanistan
Sep 10, 2022 11:37Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeitaka serikali ya Taliban inayotawala Afghanistan izifungue skuli zote za wasichana nchini humo.
-
Russia: Marekani irejeshe fedha za Afghanistan zilizoibwa
Aug 30, 2022 09:43Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa ameitaka Marekani izirejeshe fedha zilizoibiwa Afghanistan.
-
Kuundwa serikali ya wote, msimamo wa kiistratijia wa Iran kuhusu Afghanistan
Aug 26, 2022 07:36Mwaka mzima umepita tangu kuingia tena madarakani kundi la Taliban nchini Afghanistan, lakini hadi hizi sasa kundi hilo halijatambuliwa kimataifa kutokana na misimamo yake.
-
Watu 180 waaga dunia kutokana na mafuriko nchini Afghanistan
Aug 26, 2022 07:16Watu wasiopungua 180 wamefariki dunia nchini Afghanistan kutokana na mafuriko na matukio yanayohusiana na mvua kali zilizonyesha hivi karibuni.
-
Momeni: Iran inaongoza nchi zote duniani kwa kukamata madawa ya kulevya
Aug 20, 2022 10:08Katibu Mkuu wa Kamati ya Kupambana na Madawa ya Kulevya ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ndiyo nchi inayokamata kiwango kikubwa zaidi cha mihadarati na madawa ya kulevya duniani.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi iliyoua makumi msikitini Kabul
Aug 19, 2022 04:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililopelekea kuuawa makumi ya watu katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Trump: Kuondoka Afghanistan lilikuwa tukio la udhalilishwaji mkubwa zaidi katika historia ya Marekani
Aug 17, 2022 02:37Aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump amesema, kuondoka majeshi ya nchi hiyo Afghanistan ilikuwa hatua ya pupa na ya udhalilishwaji.
-
Mwaka mmoja wa utawala wa Taliban nchini Afghanistan
Aug 10, 2022 05:28Mwaka mmoja umepita tangu kundi la Taliban lilipoingia tena madarakani nchini Afghanistan lakini inaonekana kuwa mateso na matatizo ya wananchi yameongezeka kuliko hata wakati nchi hiyo ilipokuwa inakaliwa kwa mabavu na Marekani na NATO katika miaka ya 2001 hadi 2021.
-
Mapigano baina ya Taliban na ISIS nchini Afghanistan wakati huu wa Muharram
Aug 07, 2022 08:08Serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan imetangaza kuangamizwa magaidi wanne wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mapigano yaliyotokea kwenye eneo la Karte-Ye-Sakhi mjini Kabul.
-
Mahakama ya ICC yashindwa kuchunguza uhalifu wa kivita nchini Afghanistan
Aug 01, 2022 16:59Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) bado wanasitasita kuhusu suala la kuendeleza uchunguzi wa uhalifu wa kivita uliofanyika nchini Afghanistan.