Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Afrika yalalamikia kupokea chanjo za corona zinazokaribia kupitwa na wakati

    Afrika yalalamikia kupokea chanjo za corona zinazokaribia kupitwa na wakati

    Jan 20, 2022 08:43

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Afrika CDC kimesema kuna udharura wa kupelekwa barani humo chanjo za kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 ambazo muda wake wa matumizi ni baina ya miezi mitatu hadi sita.

  • Nchi za Magharibi mwa Afrika zakata uhusiano wao na Mali

    Nchi za Magharibi mwa Afrika zakata uhusiano wao na Mali

    Jan 10, 2022 04:32

    Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharini mwa Afrika (ECOWAS) yenye wanachama 15 imechukua uamuzi wa kufunga mipaka ya nchi hizo na Mali na kukata uhusiano wa kidiplomasia na serikali ya Bamako.

  • CAF yaweka sheria za ajabu za corona katika fainali za AFCON 2021 huko Cameroon

    CAF yaweka sheria za ajabu za corona katika fainali za AFCON 2021 huko Cameroon

    Jan 10, 2022 02:47

    Shirikisho la kandanda barani Afrika CAF limetangaza sheria zilizowastaajabisha wengi za corona Katika mashindayo yaliyoanza jana ya Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Cameroon.

  • Maambukizi ya Corona Afrika yapindukia kesi milioni 10, WHO yatahadharisha kuhusu tsunami ya kutatanisha

    Maambukizi ya Corona Afrika yapindukia kesi milioni 10, WHO yatahadharisha kuhusu tsunami ya kutatanisha

    Jan 07, 2022 23:20

    Bara la Afrika limevuka visa milioni 10 vilivyorekodiwa vya maambukizi ya Covid-19, huku Shirika la Afya Duniani (WHO) likuonya juu ya tsunami kubwa na ya haraka ya maambukizo ya corona ambayo yanachanganya mifumo ya afya kote duniani.

  • Afrika CDC: Kuzifunga nchi hakuna manufaa katika kudhibiti Corona

    Afrika CDC: Kuzifunga nchi hakuna manufaa katika kudhibiti Corona

    Jan 07, 2022 00:03

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Afrika CDC kimesema kuzifunga nchi na kuweka sheria za kutotoka nje si moja ya njia bora zaidi za kukabiliana na msambao wa virusi vya Corona.

  • Hatimaye Waziri Mkuu wa Sudan atangaza rasmi kujiuzulu

    Hatimaye Waziri Mkuu wa Sudan atangaza rasmi kujiuzulu

    Jan 03, 2022 04:14

    Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu wa Sudan ambaye hivi karibuni alitishia kujiuzulu, hatimaye ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo mbele ya waandishi wa habari.

  • "Nchi za Magharibi zilizofaidika na utumwa ziwape fidia Waafrika"

    Jan 01, 2022 09:23

    Nchi za Magharibi zilizohusika na kustafidi na biashara haramu ya utumwa zimetakiwa kuzilipa fidia nchi za Afrika kutokana na jinai za utumwa na ukoloni.

  • Kongamano la kumuenzi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Mohandes lafanyika Tunisia

    Kongamano la kumuenzi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Mohandes lafanyika Tunisia

    Dec 30, 2021 04:47

    Kundi la vyama vya siasa na asasi za kiraia nchini Tunisia zimefanya kongamano kwa mnasaba wa mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha Hashd al Sha'abi.

  • Iran yasikitishwa na mauaji yaliyofanywa na magaidi Burkina Faso

    Iran yasikitishwa na mauaji yaliyofanywa na magaidi Burkina Faso

    Dec 27, 2021 09:49

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kufungamana na familia za raia wa Burkina Faso ambao waliuawa katika hujuma ya kigaidi hivi karibuni.

  • Gordon Brown: Nchi za Afrika zisilaumiwe kwa kusambaa kirusi cha corona aina ya Omicron

    Gordon Brown: Nchi za Afrika zisilaumiwe kwa kusambaa kirusi cha corona aina ya Omicron

    Dec 25, 2021 01:01

    Gordon Brown, waziri mkuu wa zamani wa Uingereza, amesema kuzuka kwa kirusi kipya cha corona, "Omicron" sio kosa la Afrika, na amezilaumu nchi tajiri ambazo zilijilimbikizia mamia ya mamilioni ya dozi za chanjo ya corona, kwa kukataa kutoa chanjo kwa nchi maskini licha ya tahadhari iliyotolewa hapo awali kwamba kutofanya hivyo kutatatiza juhudi za kuangamiza kirusi hicho.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS