-
Kesi za Corona barani Afrika zapungua kwa asilimia 13
Oct 07, 2021 21:19Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) kimesema bara la Afrika limeshuhudia kupungua kwa maambukizo ya ugonjwa wa COVID-19 katika kipindi cha wiki moja.
-
Kesi za Corona barani Afrika zapindukia milioni 8 na laki 3
Oct 05, 2021 04:34Kesi zilizothibitishwa za maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 katika nchi 55 za Kiafrika hadi kufikia jana Jumatatu zimepindukia watu milioni nane na laki tatu.
-
WHO: Asilimia 4 tu ya Waafrika ndio waliopata chanjo ya corona
Sep 30, 2021 08:24Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, nchi 14 za Afrika pekee ndizo zilizokuwa zimetoa chanjo ya corona kwa zaidi ya asilimiia 10 ya jamii zao hadi kufikia mwishoni mwa mwezi uliopita wa Septemba.
-
WHO yatahadharisha kuhusu aina mpya ya maambukizi ya kirusi cha corona Afrika
Sep 24, 2021 08:08Wanasayansi na wasomi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) wametahadharisha kuhusu mambukizo mapya ya kirusi cha corona katika miezi ya mwisho ya mwaka huu barani Afrika.
-
Mwenyekiti wa AU ataka Afrika iwe na kiti cha uanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la UN
Sep 22, 2021 09:14Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambaye ni mwenyekiti sasa wa Umoja wa Afrika AU amewasilisha malalamiko kadhaa ya bara hilo katika mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ulioanza jana mjini New York, likiwemo la bara la Afrika kupatiwa uanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la UN.
-
Wafanyamapinduzi Guinea wakataa wito wa kuachia madaraka, wasema hawababaishwi na vikwazo
Sep 19, 2021 12:04Kundi la wanajeshi waliotwaa madaraka ya nchi huko Guinea kupitia mapinduzi limepinga mashinikizo ya kimataifa yanayotaka kuachiliwa huru rais wa zamani wa nchi hiyo aliyeshikiliwa kizuizini, Alpha Conde na kurejeshwa kwa utawala wa kiraia.
-
Ufaransa yadai kumuua kiongozi wa Daesh katika eneo la Sahel
Sep 16, 2021 03:35Rais wa Ufaransa ametangaza habari ya kuuliwa kiongozi wa magaidi wa kundi la Daesh katika eneo la Sahel.
-
Watu milioni 7.87 wameambukizwa corona barani Afrika
Sep 04, 2021 22:46Nchi za Kiafrika zilirekodi maambukizi mapya 25,477 ya COVID-19 katika masaa 24 kufikia Jumamosi na hivyo kuifanya jumla ya watu walioambukizwa ugonjwa huo hadi kufikia sasa barani humo kuwa milioni 7.87.
-
Waasi wa Tigray, Ethiopia wakataa upatanishi wa mjumbe wa AU
Aug 29, 2021 21:58Wapiganaji wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) wamepinga na kukosoa vikali hatua ya Umoja wa Afrika kumteua aliyekuwa rais wa Nigeria kuwa mpatanishi katika mgogoro unaoshuhudiwa kwa miezi kadhaa sasa katika eneo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia.
-
Hofu ya Baraza la Usalama ya kuenea ugaidi barani Afrika
Aug 20, 2021 21:58Nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimeleeza wasi wasi wao juu ya kuenea harakati za makundi ya kigaidi katika nchi za Afrika.