-
Zimbabwe ni miongoni mwa nchi bora katika malipo ya mtandaoni barani Afrika
May 28, 2021 22:09Zimbabwe imepiga hatua kubwa katika sekta ya teknolojia za kidijitali ikiwa ni pamoja na mapinduzi katika malipo ya pesa kwa kutumia simu za mkononi ambapo hivi sasa watu milioni 7.67 kati ya milioni 14.5 nchini humo wanatumia simu za mkononi katika miamala ya kifedha.
-
Mataifa ya Kiafrika yalaani uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Masjidul-Aqswa
May 10, 2021 03:19Mataifa ya Kiislamu barani Afrika yametoa taarifa ya kulaani hujuma na uvamizi wa jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
AU: Tuko tayari kusimamia mazungumzo ya kukwamua mgogoro wa kisiasa Somalia
Apr 22, 2021 22:02Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika limesema liko tayari kuandaa na kusimamia mazungumzo ya kukwamua mgogoro wa kisiasa unaoikabili Somalia.
-
Mwanachuo wa kike wa Iran atunukiwa tuzo katika Shindano la Ubinifu Afrika
Apr 22, 2021 22:01Mwanafunzi wa kike wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametunukiwa medali mbili tofauti katika Shindano la Ubunifu Afrika la mwaka huu 2021.
-
Mwongozo wa ustawi wa biashara ya kilimo Afrika wazinduliwa
Apr 16, 2021 00:04Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa FAO, na Idara ya Kilimo, Maendeleo Vijijini, Uchumi wa Bahari na Maendeleo Endelevu ya Muungano wa Afrika, AUC-DARBE, zimezindua mwongozo wa kukuza biashara ya kilimo miongoni mwa mataifa ya Afrika chini ya makubaliano mapya ya Eneo la Biashara Huru barani humo, AfCFTA.
-
Viongozi wa Msumbiji waeleza wasiwasi wao kuhusiana na harakati za kundi la Daesh nchini humo
Apr 11, 2021 22:21Katika miaka ya hivi karibuni makundi ya kigaidi yameimarisha harakati zao katika nchi mbalimbali za Kiafrika. Genge la Daesh ni miongoni wa makundi hayo ya kigaidi ambayo yamezidisha mashambulizi na harakati zao katika nchi za Afrika.
-
Interpol yakamata makumi ya wafanya magendo ya binadamu
Apr 10, 2021 23:06Polisi ya Kimataifa (Intepol) imesema imewatia mbaroni wafanya magendo ya binadamu zaidi ya 80, na wasafirishaji haramu wa wahajiri wapatao 63 katika opersheni iliyofanyika katika nchi 24 duniani.
-
Msumbiji yatuma timu ya madaktari kutambua wahanga wa shambulio la kigaidi huko Palma
Apr 09, 2021 11:22Msemaji wa jeshi la Msumbiji amesema kuwa nchi hiyo inatuma timu ya madaktari ili kutambua miili ya watu 12 waliouawa katika shambulio la magaidi wenye uhusiano na kundi la Daesh katika machimbo ya gesi asilia kwenye mji wa Palma kaskazini mwa Msumbiji.
-
Kushtadi harakati za makundi ya kigaidi barani Afrika
Mar 30, 2021 22:35Makundi ya kigaidi yameshadidisha harakati zao katika maeneo mbali mbali barani Afrika ambapo tukio la karibuni kabisa ni kudhibiwa na magaidi wa al-Shabab mji wa pwani wa Palma wa kaskazini mwa Msumbiji.
-
Wakazi wa Kanda ya Ziwa Tanzania wamuaga Magufuli, Majaliwa asema ameacha alama kote nchini
Mar 24, 2021 09:54Wananchi wa Mwanza na mikoa jirani ya Kanda ya Ziwa nchini Tanzania wamejitokeza kwa wingi kwenye barabara na mitaa ya Mwanza kumuaga aliyekua Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli.