Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • UN yatafuta dola milioni 266 kuwanusuru wakimbizi milioni tatu katika nchi za Afrika Mashariki

    UN yatafuta dola milioni 266 kuwanusuru wakimbizi milioni tatu katika nchi za Afrika Mashariki

    Mar 03, 2021 00:52

    Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanasaka dola milioni 266 ili kunusuru wakimbizi milioni tatu waliokumbwa na mkato wa mgao kwenye nchi za Afrika Mashariki.

  • Iran yasafirisha kwa wingi matrekta katika nchi za Afrika, Asia

    Iran yasafirisha kwa wingi matrekta katika nchi za Afrika, Asia

    Feb 07, 2021 04:10

    Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika la Kuzalisha Matrekta la Iran amesema nchi hii imeanza kuuza kwa wingi tingatinga katika nchi za Afrika, Asia na Amerika ya Latini.

  • Viongozi wa Afrika leo wanakutana kujadili corona, usalama

    Viongozi wa Afrika leo wanakutana kujadili corona, usalama

    Feb 06, 2021 01:19

    Viongozi wa bara la Afrika leo wanashiriki katika Mkutano wa 34 wa Kilele wa Umoja wa Afrika kujadili masuala ya usalama na janga la corona au COVID-19.

  • Afrika yaagiza dozi milioni 400 zaidi za Covid-19

    Afrika yaagiza dozi milioni 400 zaidi za Covid-19

    Jan 29, 2021 04:08

    Kituo cha Umoja wa Afrika cha kudhibiti na kuzuia magonjwa (Africa-CDC) kimesema bara hilo limefanikiwa kuagiza dozi milioni 400 za chanjo za Covid-19 zaidi, baada ya kuagiza dozi milioni 270 za chanjo hizo hapo awali.

  • Mamia ya mamilioni ya Waafrika wanangojea kupatiwa chanjo ya corona

    Mamia ya mamilioni ya Waafrika wanangojea kupatiwa chanjo ya corona

    Jan 24, 2021 10:26

    Kuzuka kirusi kinachosambaa kwa kasi zaidi cha corona barani Afrika kumesababisha kuongezeka kwa kasi idadi ya watu wanaoambukizwa maradhi ya Covid-19 barani humo; na kutokana na hali hiyo, kupatiwa chanjo ya kinga ndiyo matumaini pekee waliyonayo sasa watu wa bara hilo kwa ajili ya kukabiliana na maradhi hayo.

  • Corona imeua wanahabari 28 barani Afrika tokea Machi 2020

    Corona imeua wanahabari 28 barani Afrika tokea Machi 2020

    Jan 06, 2021 23:07

    Shirika moja la kufuatilia maslahi ya waandishi wa habari la Uswisi limesema jumla ya waandishi wa habari 600 wameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19 kote duniani tokea mwezi Machi mwaka uliomalizika 2020 hadi sasa, ambapo 28 miongoni mwao ni wa nchi za Afrika.

  • Matokeo ya kuendelea kuwepo kijeshi Ufaransa barani Afrika

    Matokeo ya kuendelea kuwepo kijeshi Ufaransa barani Afrika

    Jan 03, 2021 08:53

    Uwepo wa kijeshi wa Ufaransa katika maeneo mbalimbali barani Afrika ungali unaendelea.

  • Zimbabwe yaanza tena kutekeleza karantini nchi nzima

    Zimbabwe yaanza tena kutekeleza karantini nchi nzima

    Jan 03, 2021 04:29

    Serikali ya Zimbabwe imetangaza kuwa sheria ya karantini ya nchi nzuma imeanza kutekelezwa nchini humo kwa mara nyingine tena kuanza jana usiku kutokana na kuongezeka maambukizi mapya ya corona.

  • Eneo la Biashara Huru la Afrika, AfCFTA, laanza rasmi kazi

    Eneo la Biashara Huru la Afrika, AfCFTA, laanza rasmi kazi

    Jan 01, 2021 23:15

    Eneo la Biashara Huru la Afrika, AfCFTA, limezinduliwa rasmi Januari Mosi 2021 ikiwa ni hatua kubwa katika kujumuisha soko la pamoja la nchi za Afrika.

  • CDC yaonya dhidi ya hatari ya kuicheleweshea Afrika chanjo ya Covid-19

    CDC yaonya dhidi ya hatari ya kuicheleweshea Afrika chanjo ya Covid-19

    Jan 01, 2021 00:45

    Taasisi kuu ya kudhibiti magonjwa barani Afrika imetahadharisha kuwa, dunia itajiingiza katika matatizo ya kimaadili iwapo nchi za Afrika zitachelewa kupokea chanjo za ugonjwa wa Covid-19, wakati huu ambapo aghalabu ya nchi tajiri duniani zimeanza kuwachanja wananchi wao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS