-
UNICEF yazitaka nchi za mashariki na kusini mwa Afrika zifungue shule
Sep 22, 2020 22:05Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umezitaka serikali za nchi za mashariki na kusini mwa Afrika kufungua shule haraka iwezekanavyo sambamba na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanakuwa salama wanaporejea shuleni.
-
Uturuki: Ankara itaendelea kuisaidia serikali ya GNA Libya hata baada ya Sarraj kung'atuka
Sep 21, 2020 23:11Uturuki imetangaza kuwa itaendelea kuiunga mkono serikali inayotambuliwa kimataifa ya Libya licha ya Waziri Mkuu Fayez al-Sarraj kutangaza wiki iliyopita kwamba, anapanga kuondoka madarakani mwishoni mwa mwezi ujao.
-
Covid-19; WHO yaainisha kanuni za kufanyia majaribio dawa za asili za Kiafrika
Sep 20, 2020 22:57Huku jitihada za kutafuta chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 zikiendelea katika nchi kadhaa duniani, Shirika la Afya Duniani (WHO) limeafiki kanuni za kufanyia majaribio dawa za asili za Kiafrika kwa ajili ya kutibu ugonjwa huo.
-
Erdogan amkumbusha Macron jinai za Ufaransa barani Afrika, asema hajui hata historia ya nchi yake
Sep 13, 2020 09:07Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amemtahadharisha mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron kuhusu matatizo atakayokumbana nayo mkabala wake yeye na kumkumbusha jinai na uhalifu uliofanywa na Paris barani Afrika.
-
AU yataka kupokonywa silaha raia wanaozimiliki kinyume cha sheria Afrika
Sep 06, 2020 03:13Umoja wa Afrika (AU) umesisitizia udharura wa kukusanya mamilioni ya silaha zinazimilikiwa na raia kinyume cha sheria katika nchi za Afrika.
-
Katibu Mkuu wa UN: COVID-19 imevuruga utalii, ajira milioni 120 ziko hatarini
Aug 25, 2020 22:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema janga la COVID-19 limevuruga utalii duniani kote na kuleta masaibu mengi.
-
Maambukizi ya Covid-19 yapungua katika nchi 32 za Afrika
Aug 25, 2020 03:45Kituo cha Kukinga na KUdhibiti Magonjwa cha Afrika (Afrika CDC) kimesema hivi sasa nchi 32 za Afrika zimeripoti chini ya maambukizi 5,000 ya ugonjwa wa Covid-19, huku maambukizi mapya yakiongezeka kwa kasi katika nchi chache barani humo.
-
Waathirika wa corona barani Afrika wapindukia milioni moja na 183 elfu
Aug 23, 2020 22:05Watu zaidi ya milioni moja na 183,000 wameambukizwa virusi vya corona barani Afrika.
-
Wanasayansi nchini China wagundua mbinu inayoweza kutumiwa kuangamiza nzige
Aug 18, 2020 21:56Wanasayansi nchini China wamegundua mada zenye harufu ambazo hutolewa na nzige na kusababisha wajikusanye kwenye makundi.
-
Ripoti za jaribio la mapinduzi Mali, milio ya risasi yasikika Bamako, na mawaziri watiwa nguvuni
Aug 18, 2020 09:08Jeshi la Mali limeweka vizuizi katika kambi moja iliyopo katika viunga vya mji mkuu wa nchi hiyo, Bamako huku raia wa eneo hilo wakisema kuwa milio ya risasi inaendelea kusikika katika eneo hilo.