Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Nchi 7 za Kiafrika kuanza kupima antibodi za Covid-19

    Nchi 7 za Kiafrika kuanza kupima antibodi za Covid-19

    Aug 13, 2020 22:24

    Nchi saba za Kiafrika kuanzia wiki ijayo zitaanza kupima antibodi za virusi vya corona katika juhudi za kutambua kiwango cha maambukizi hayo barani Afrika.

  • Wagonjwa wa corona Afrika wapindukia milioni moja, karibu elfu 24 wamefariki dunia

    Wagonjwa wa corona Afrika wapindukia milioni moja, karibu elfu 24 wamefariki dunia

    Aug 12, 2020 23:02

    Takwimu za karibuni zinaonesha kuwa, idadi ya watu walioathiriwa na virusi vya corona barani Afrika imepindukia watu milioni moja na 69 elfu.

  • Upinzani Ivory Coast: Muhula wa tatu wa urais wa Ouattara utaibua machafuko nchini

    Upinzani Ivory Coast: Muhula wa tatu wa urais wa Ouattara utaibua machafuko nchini

    Aug 07, 2020 23:54

    Uamuzi wa Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast wa kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tatu unakiuka katiba na utasababisha machafuko katika nchi hiyo ambayo bado inajikwamua kutoka kwenye vita vya ndani. Hayo yalielezwa jana Ijumaa na mrengo wa upinzani.

  • Walioambukizwa corona Afrika wapindukia milioni moja

    Walioambukizwa corona Afrika wapindukia milioni moja

    Aug 07, 2020 06:37

    Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona barani barani Afrika imepindukia milioni moja huku karibu ya nusu walioambukizwa wakiwa Afrika Kusini.

  • Maambukizi ya COVID-19 yaongezeka Afrika, yapindukia 800,000

    Maambukizi ya COVID-19 yaongezeka Afrika, yapindukia 800,000

    Jul 27, 2020 02:43

    Maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona barani Afrika yanaongezeka kwa kasi na hadi kufikia Jumapili waliokuwa wameabukizwa ugonjwa huo barani humo walikuwa ni 828,214.

  • Wagonjwa wa COVID-19 wapindukia laki saba barani Afrika

    Wagonjwa wa COVID-19 wapindukia laki saba barani Afrika

    Jul 19, 2020 19:58

    Idadi ya wagonjwa wa COVID-19 waliothibitishwa hadi kufikia jana asubuhi barani Afrika walikuwa ni laki saba na 1,573. Hayo ni kwa mujibu wa Kituo cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa Afrika (CDC).

  • Janga la corona kusababisha watu milioni 50 Afrika kukumbwa na umaskini

    Janga la corona kusababisha watu milioni 50 Afrika kukumbwa na umaskini

    Jul 10, 2020 03:08

    Watu milioni 50 katika nchi za Afrika yumkini wakatumbukia katika lindi la umaskini wa kupindukia kutokana na makali ya janga la corona.

  • Kesi za corona zilizothibitishwa barani Afrika zapindukia 500,000

    Kesi za corona zilizothibitishwa barani Afrika zapindukia 500,000

    Jul 09, 2020 11:00

    Idadi ya kesi za ugonjwa wa Covid-19 (corona) zilizothibitishwa katika nchi za Afrika kufikia leo Alkhamisi ni zaidi ya laki tano.

  • Rekodi mpya walioambukizwa COVID-19 Afrika, tahadhari yatolewa

    Rekodi mpya walioambukizwa COVID-19 Afrika, tahadhari yatolewa

    Jun 27, 2020 03:47

    Idadi kubwa zaidi ya walioambukizwa COVID-19 au corona barani Afrika imeripotiwa Ijumaa huku tahadahri ikitolewa kuwa ugonjwa huo unaenea kwa kasi barani humo.

  • Alkhamisi tarehe 25 Juni mwaka 2020

    Alkhamisi tarehe 25 Juni mwaka 2020

    Jun 24, 2020 22:05

    Leo ni Alkhamisi tarehe 3 Dhulqaada 1441 Hijria sawa na Juni 25 mwaka 2020.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS