Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Uturuki: UAE inataka kuchochea uasi dhidi ya serikali za Afrika

    Uturuki: UAE inataka kuchochea uasi dhidi ya serikali za Afrika

    Jun 19, 2020 23:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ameutuhumu Umoja wa Falme za Kiarabu kuwa unapania kuchochea harakati za uasi dhidi ya serikali katika nchi za Afrika.

  • Indhari kuhusu ongezeko la kasi la maambukizi ya COVID-19 barani Afrika

    Indhari kuhusu ongezeko la kasi la maambukizi ya COVID-19 barani Afrika

    Jun 16, 2020 00:27

    Mtaalamu mmoja amebainisha wasi wasi wake kuhusu ongezeko la maamubukizi ya ugonjwa wa COVID-19 barani Afrika.

  • UN: Athari za corona kuua watoto 50,000 Afrika Kaskazini na Asia Magharibi

    UN: Athari za corona kuua watoto 50,000 Afrika Kaskazini na Asia Magharibi

    Jun 15, 2020 10:40

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, yumkini athari za ugonjwa wa COVID-19 zikaua makumi ya maelfu ya watoto katika nchi za kaskazini mwa Afrika na Asia Magharibi.

  • Nchi 43 za Afrika zafunga mipaka zikihofia wimbi la pili la corona

    Nchi 43 za Afrika zafunga mipaka zikihofia wimbi la pili la corona

    Jun 14, 2020 22:39

    Nchi 43 za Afrika zimefunga mipaka yao kutokana na kasi ya juu ya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 (corona) barani humo.

  • Mazungumzo kuhusu ubaguzi wa kizazi; mwito wa nchi za Afrika kwa Baraza la Haki za Binadamu

    Mazungumzo kuhusu ubaguzi wa kizazi; mwito wa nchi za Afrika kwa Baraza la Haki za Binadamu

    Jun 13, 2020 23:14

    Kuuliwa kikatili Mmarekani Mwafrika, Geroge Floyd, kulikofanywa na polisi mzungu tarehe 25 Mei huko Minneapolis, katika jimbo la Minnesota nchini Marekani si tu kumezusha wimbi kubwa la maandamano ndani ya nchi hiyo, bali dunia nzima imeripuka kwa maandamano ya kushinikiza mapambano ya kweli dhidi ya ubaguzi wa rangi na ukatili wa jeshi la polisi la Marekani.

  • Nchi za Afrika zataka Baraza la Haki za Binadamu la UN lijadili ubaguzi

    Nchi za Afrika zataka Baraza la Haki za Binadamu la UN lijadili ubaguzi

    Jun 13, 2020 08:09

    Nchi za Afrika zimetoa mwito wa kufanyika mkutano wa dharura wa kujadili ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi ya Marekani katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.

  • Vikosi vya Usalama vimeua watu 200 eneo la Sahel barani Afrika

    Vikosi vya Usalama vimeua watu 200 eneo la Sahel barani Afrika

    Jun 10, 2020 07:34

    Vikosi vya ulinzi na usalama katika ukanda wa Sahel barani Afrika vimeua raia 200 kati ya mwezi Februari na Aprili mwaka huu.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yatwaa ngome kuu ya Haftar magharibi mwa Libya

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yatwaa ngome kuu ya Haftar magharibi mwa Libya

    Jun 05, 2020 08:07

    Jeshi la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya limetangaza kuwa limetwaa ngome kuu ya mwisho ya wapiganaji wa jenerali muasi, Khalif Haftar huko magharibi mwa Libya.

  • Hali ya maambukizi ya corona nchini Senegal inatia wasiwasi

    Hali ya maambukizi ya corona nchini Senegal inatia wasiwasi

    Jun 01, 2020 03:05

    Hali ya maambukizi ya virusi vya corona nchini Senegal khususan katika mji mkuu wa nchi hiyo imewapelekea maafisa wa afya na tiba wa nchi hiyo kubainisha wasiwasi wao.

  • AU yalaani ukatili wa polisi ya Marekani dhidi ya raia weusi

    AU yalaani ukatili wa polisi ya Marekani dhidi ya raia weusi

    May 30, 2020 03:44

    Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amelaani vikali mauaji ya raia mweusi nchini Marekani katika jimbo la Minnesota, licha ya kuwa hakuwa na silaha yoyote.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS