-
Mkutano wa 'Siku ya Afrika' wafanyika kwa njia ya video
May 26, 2020 06:03Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika limefanya mkutano wa kuadhimisha Siku ya Afrika kwa njia ya video, na kutoa wito kwa Waafrika kuimarisha uhusiano wao ili kufikia maendeleo na amani.
-
Wasi wasi wa WHO kuhusu kuenea kimya kimya COVID-19 barani Afrika
May 26, 2020 05:50Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema ingawa Afrika ndilo eneo ambalo lina idadi ndogo zaidi ya waathirika wa ugonjwa wa COVID-19 lakini kuna wasi wasi kuwa ugonjwa huo utaenea kimya kimya iwapo viongozi wa bara hilo hawatalipa umuhimu suala ya vipimo.
-
"Iran ipo tayari kuzipa nchi za Afrika uzoefu wake wa kukabiliana na corona"
May 25, 2020 22:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuyapa mataifa ya Afrika uzoefu wake katika suala la kupambana na ugonjwa wa COVID-19 (Corona).
-
Baadhi ya Waislamu katika nchi za Mashariki na Magharibi mwa Afrika wasali Iddi leo
May 23, 2020 06:12Baadhi ya Waislamu katika nchi kadhaa za mashariki na magharibi mwa Afrika wamesali na kusherehekea sikukuu ya Idul-Fitr, huku aghalabu ya Waislamu duniani wakitazamiwa kuadhimisha sala na sherehe hizo kesho Jumapili.
-
Uchaguzi mkuu Burundi wafanyika leo licha ya changamoto ya virusi vya Corona
May 20, 2020 07:04Wananchi wa Burundi waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wamejitokeza na kushiriki katika uchaguzi wa Rais na wawakilishi wao wa Bunge licha ya kuweko changamoto mbalimbali kama tishio la virusi vya Corona.
-
Umoja wa Mataifa: Huenda mamilioni wakakumbwa na baa la njaa Afrika kutokana na janga la Corona
May 20, 2020 06:59Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha juu ya mamilioni ya watu kukumbwa na baa la njaa barani Afrika litakalosababishwa na janga la sasa la virusi vya Corona.
-
WHO yatoa utabiri wake mpya kuhusiana na hali ya Corona barani Afrika
May 16, 2020 08:06Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa utabiri likisema kuwa robo moja ya jamii ya watu bilioni moja barani Afrika, itapatwa na virusi vya Corona kufikia mwaka ujao wa 2021.
-
Marais wa Tanzania na Burundi 'wasusia' mkutano wa EAC wa kujadili corona
May 13, 2020 03:47Marais John Pombe Magufuli wa Tanzania na Pierre Nkurunziza wa Burundi hawakushiriki kwenye mkutano wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wa kujadili janga la corona uliofanyika jana Jumanne kwa njia ya video.
-
Rais Rajoelina awaponda Wamagharibi kwa kuwadhalilisha wanasayansi wa Kiafrika
May 13, 2020 03:46Rais Andry Rajoelina wa Madagascar amezikosoa vikali nchi za Ulaya kwa kutilia shaka dawa ya asili inayodaiwa kutibu ugonjwa wa Covid-19 iliyozinduliwa na nchi yake akisisitiza kuwa, iwapo dawa hiyo ingelikuwa imegunduliwa katika nchi za Ulaya, isingetiliwa shaka.
-
UN: Vifo vya Ukimwi kuongezeka maradufu Afrika kutokana na janga la corona
May 12, 2020 10:13Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, huenda vifo vinavyotokana na ugonjwa wa Ukimwi katika nchi za chini ya Jangwa la Sahara barani Afrika vikaongezeka mara mbili, iwapo jitihada za kiafya za kuwashughulikia wenye virusi vya HIV zitakatizwa na janga la kimataifa la corona.