Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Indhari ya WHO; huenda corona ikaua watu 190,000 barani Afrika

    Indhari ya WHO; huenda corona ikaua watu 190,000 barani Afrika

    May 07, 2020 22:24

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa, yumkini ugonjwa wa Covid-19 (corona) ukaua watu baina ya 83,000 na 190,000 katika nchi za Afrika ndani ya miezi michache ijayo, iwapo maradhi hayo hayatadhibitiwa.

  • Umoja wa Mataifa watakiwa uunge mkono usitishaji vita katika maeneo ya mapigano

    Umoja wa Mataifa watakiwa uunge mkono usitishaji vita katika maeneo ya mapigano

    May 06, 2020 20:09

    Nchi za Tunisia na Ufaransa zimelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuunga mkono na kuafiki azimio la kusimamisha vita haraka katika maeneo ya mapigano duniani kama sehemu ya vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.

  • Corona yawakatizia masomo watoto milioni 127 mashariki na kusini mwa Afrika

    Corona yawakatizia masomo watoto milioni 127 mashariki na kusini mwa Afrika

    May 05, 2020 03:36

    Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umesema janga la corona limewakatizia masomo mamilioni ya watoto katika maeneo ya mashariki na kusini mwa Afrika.

  • Kesi za Corona zilizoripotiwa Afrika hadi sasa zapindukia 40,000

    Kesi za Corona zilizoripotiwa Afrika hadi sasa zapindukia 40,000

    May 02, 2020 22:40

    Idadi ya kesi za ugonjwa wa Covid-19 (Corona) zilizothibitishwa katika nchi za Afrika kufikia jana Jumamosi imepindukia 40,000, kutoka 39,018 iliyoripotiwa Ijumaa.

  • WHO: Malaria inaua watu wengi zaidi ya Corona barani Afrika

    WHO: Malaria inaua watu wengi zaidi ya Corona barani Afrika

    Apr 27, 2020 22:16

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema ugonjwa wa malaria ungali tishio kubwa linalowaathiri mamilioni ya watu kila mwaka katika nchi za Afrika kuliko ugonjwa wa Covid-19.

  • de Souza: Sera ya Marekani kuhusu Afrika ni kupunguza jamii ya Waafrika

    de Souza: Sera ya Marekani kuhusu Afrika ni kupunguza jamii ya Waafrika

    Apr 26, 2020 20:11

    Mtaalamu wa masuala ya jamii wa Marekani amefichua kuwa, siasa za nje za serikali mbalimbali za Marekani kuhusuana na Afrika zinalenga kupunguza jamii ya watu wa bara hilo.

  • Rais wa Afrika Kusini na Mwenyekiti wa AU awatumia Waislamu Salamu za Ramadhani

    Rais wa Afrika Kusini na Mwenyekiti wa AU awatumia Waislamu Salamu za Ramadhani

    Apr 25, 2020 06:29

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amewatumia Waislamu salamu kwa mnasba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

  • Afisa mmoja wa ubalozi wa Marekani ashambuliwa kwa risasi mjini Khartoum Sudan

    Afisa mmoja wa ubalozi wa Marekani ashambuliwa kwa risasi mjini Khartoum Sudan

    Apr 24, 2020 02:38

    Ubalozi wa Marekani nchini Sudan umetangaza kuwa, afisa mmoja wa ubalozi huo amesalimika kifo baada ya kushambuliwa kwa risasi mjini Kharotum.

  • Vifo vya corona vyaongezeka kwa asilimia 38 barani Afrika

    Vifo vya corona vyaongezeka kwa asilimia 38 barani Afrika

    Apr 23, 2020 22:15

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, vifo vinavyotokana na ugonjwa wa COVID-19 vimeongezeka kwa asilimia 38 barani Afrika.

  • SADC yasikitishwa na ongezeko la dhulma za kijinsia wakati huu wa Corona

    SADC yasikitishwa na ongezeko la dhulma za kijinsia wakati huu wa Corona

    Apr 23, 2020 10:19

    Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imetoa mwito wa kuwepo jitihada na ushirikiano wa pamoja wa kukabiliana na ongezeko la dhulma za kijinsia barani Afrika, wakati huu wa janga la Corona.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS