Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Afrika Kusini: Utawala wa Kizayuni hauheshimu hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu

    Afrika Kusini: Utawala wa Kizayuni hauheshimu hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu

    Mar 11, 2024 22:40

    Rais wa Afrika Kusini ameashiria kutotekelezwa hukumu ya awali ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) iliyosema kwamba kuna ulazima utawala ghasibu wa Israel uzuiye mauaji ya kimbari huko Ukanda wa Gaza; na kueleza wasiwasi wake kuhusu hali ya mambo katika mji wa Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Juhudi za Afrika Kusini za mashinikizo zaidi ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Juhudi za Afrika Kusini za mashinikizo zaidi ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Mar 09, 2024 04:05

    Kufuatia kuendelea jinai za Israel dhidi ya Wapalestina, Afrika Kusini imewasilisha ombi la dharura katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ, ikiitaka korti hiyo ya Umoja wa Mataifa ichukue hatua zaidi za dharura dhidi ya Israel, ikisisitiza kuwa utawala huo wa Kizayuni umeendelea kupuuza amri iliyotolewa na chombo hicho cha sheria.

  • Afrika Kusini yaitaka ICJ ichukue hatua za dharura dhidi ya Israel

    Afrika Kusini yaitaka ICJ ichukue hatua za dharura dhidi ya Israel

    Mar 06, 2024 23:47

    Afrika Kusini imewasilisha ombi la dharura katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ, ikiitaka korti hiyo ya Umoja wa Mataifa ichukue hatua zaidi za dharura dhidi ya Israel, ikisisitiza kuwa utawala huo wa Kizayuni umeendelea kupuuza amri iliyotolewa na chombo hicho cha sheria.

  • Afrika Kusini yatahadharisha kuhusu maafa ya kutisha iwapo mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yatafeli

    Afrika Kusini yatahadharisha kuhusu maafa ya kutisha iwapo mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yatafeli

    Mar 06, 2024 04:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini jana alitahadharisha kuwa maafa ya kutisha yatashuhudiwa Ukanda wa Gaza iwapo mazungumzo kuhusu kuwaachia huru mateka na kusitisha vita katika eneo hilo yatafeli.

  • Afisa wa Afrika Kusini: Nchi za Magharibi hazipasi kuzungumza kuhusu 'haki za binadamu'

    Afisa wa Afrika Kusini: Nchi za Magharibi hazipasi kuzungumza kuhusu 'haki za binadamu'

    Mar 03, 2024 23:00

    Mohamed Faizal Dawjee, Mshauri wa Mawasiliano na Mkurugenzi wa Zamani wa Vyombo vya Habari wa serikali ya Afrika Kusini amelaani msimamo wa nchi za Magharibi kuhusu vita vya Israel dhidi ya Gaza, na kusema  nchi za Magharibi "zimeshiriki katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina."

  • A/Kusini inafuatilia utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya ICJ dhidi ya utawala wa Kizayuni

    A/Kusini inafuatilia utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya ICJ dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Feb 28, 2024 08:12

    Serikali ya Afrika Kusini imesisitiza kuhusu kutekelezwa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala wa Kizayuni.

  • Afrika Kusini: UN iache undumakuwili katika kulaani ukiukwaji wa haki

    Afrika Kusini: UN iache undumakuwili katika kulaani ukiukwaji wa haki

    Feb 27, 2024 03:59

    Afrika Kusini imekosoa vikali undumakuwili wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa katika suala la kulaani ukanyagaji wa haki za binadamu duniani.

  • Afrika Kusini yaiasa ICJ iseme ukaliaji wa ardhi za Palestina ni kinyume cha sheria

    Afrika Kusini yaiasa ICJ iseme ukaliaji wa ardhi za Palestina ni kinyume cha sheria

    Feb 20, 2024 09:24

    Afrika Kusini imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) itoe ushauri wa kisheria unaosema kuwa hatua ya Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina ni kinyume cha sheria.

  • Askari kadhaa wa Afrika Kusini wauawa na kujeruhiwa Kongo DR

    Askari kadhaa wa Afrika Kusini wauawa na kujeruhiwa Kongo DR

    Feb 15, 2024 23:17

    Wanajeshi wawili wa Afrika Kusini wameuawa huku wengine watatu wakijeruhiwa katika shambulizi la bomu lililolenga kambi ya wanajeshi hao mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Ombi la Afrika Kusini kwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki kuhusu jinai za Israel katika mji wa Rafah, Gaza

    Ombi la Afrika Kusini kwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki kuhusu jinai za Israel katika mji wa Rafah, Gaza

    Feb 14, 2024 10:28

    Serikali ya Afrika Kusini imesema imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kuzingatia iwapo uamuzi wa utawala wa Israel kupanua operesheni za kijeshi Gaza hadi mji wa huko Rafah utahitaji mahakama hiyo kutumia mamlaka yake kuzuia ukiukwaji zaidi wa haki za Wapalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS