Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Kuanza kusikilizwa mashtaka ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Kuanza kusikilizwa mashtaka ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Jan 11, 2024 23:11

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki yenye makao makuu yake mjini The Hague Uholanzi Alhamisi na Ijumaa inasikiliza na kukusanya mitazamo ya kisheria ya Afrika Kusini na utawala wa Kizayuni kuhusu kesi ya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza. Moja ya shughuli za mahakama hiyo ni kushughulikia mashtaka yanayohusiana na Mkataba wa Mauaji ya Kimbari wa 1948. Mkataba huo unatambuliwa rasmi na nchi 153.

  • Nchi za Kiarabu na Kiislamu zatakiwa kuunga mkono mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Nchi za Kiarabu na Kiislamu zatakiwa kuunga mkono mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Jan 03, 2024 03:40

    Gazeti moja la Misri limezitaka nchi za Kiarabu na Kiislamu kuunga mkono mashtaka ya serikali ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki mjini The Hague.

  • Afrika Kusini yaushtaki utawala wa Kizayuni kwa kuendesha mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina

    Afrika Kusini yaushtaki utawala wa Kizayuni kwa kuendesha mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina

    Dec 31, 2023 07:51

    Kufuatia kuendelea jinai za utawala wa kibaguzi wa Israel dhidi ya Wapalestina wasio na hatia, Afrika Kusini imeushtaki rasmi utawala huo katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki huko The Haque. Mastaka muhimu ya Afrika Kusini ni jinai za kivita, mauaji ya kizazi na kikabila huko Gaza na katika maeneo mengine ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu ya Palestina.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran azungumza na waziri mwenzake wa Afrika Kusini, Ghaza maudhui kuu

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran azungumza na waziri mwenzake wa Afrika Kusini, Ghaza maudhui kuu

    Dec 20, 2023 23:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Afrika Kusini na kujadiliana naye masuala mbalimbali muhimu ya pande mbili, ya kieneo na ya kimataifa na hasa vita vya Ghaza huko Palestina.

  • Rais wa Afrika Kusini aitaka mahakama ya ICC ichunguze haraka jinai za kivita za Israel

    Rais wa Afrika Kusini aitaka mahakama ya ICC ichunguze haraka jinai za kivita za Israel

    Dec 19, 2023 23:58

    Rais wa Afrika Kusini ameitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) yenye makao yake huko Hague Uholanzi ichunguze haraka iwezekanavyo jinai za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ukanda wa Gaza.

  • Afrika Kusini yataka Israel itambulishwe kama

    Afrika Kusini yataka Israel itambulishwe kama "utawala wa kibaguzi"

    Nov 25, 2023 01:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini ametangaza kwamba nchi hiyo inaendeleza juhudi katika mashirika na jumuiya za kimataifa za kuutambulisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni "utawala wa kibaguzi".

  • Afrika Kusini yataka amani ya kudumu na endelevu Palestina

    Afrika Kusini yataka amani ya kudumu na endelevu Palestina

    Nov 23, 2023 04:05

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini sanjari na kupongeza usitishaji vita wa muda kwa misingi ya ubinadamu huko Gaza, ametoa mwito wa kufanyika jitihada zaidi za kutafuta amani ya kudumu na endelevu katika mgogoro wa miongo kadhaa baina ya Palestina na utawala haramu wa Israel.

  • Malema aitaka ICC imtie mbaroni Netanyahu kwa mauaji ya Gaza

    Malema aitaka ICC imtie mbaroni Netanyahu kwa mauaji ya Gaza

    Nov 09, 2023 23:23

    Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Afrika Kusini ametoa mwito kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mashambulizi ya kinyama yanayoandelea kufanywa na utawala huo pandikizi katika Ukanda wa Gaza.

  • Afrika Kusini yasonga mbele na miradi ya kuzalisha gesi ili kusaidia tatizo la umeme

    Afrika Kusini yasonga mbele na miradi ya kuzalisha gesi ili kusaidia tatizo la umeme

    Nov 05, 2023 10:13

    Kgosientsho Ramakgopa Waziri wa Umeme wa Afrika Kusini amesema leo Jumapili kuwa nchi hiyo inaharakisha mipango ya kuzalisha gigawati 3 (GW) za umeme kwa kutumia gesi ili kusaidia kuziba nakisi ya nishati ya umeme ambayo inaathiri uchumi wa nchi hiyo.

  • Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika tena Afrika Kusini

    Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika tena Afrika Kusini

    Oct 14, 2023 03:54

    Kwa mara nyingine, wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano wakionyesha mshikamano wao na watu wanaodhulumiwa wa Palestina na kutangaza uungaji mkono wao kwa mapambano ya ukombozi wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS