-
Balozi wa Afrika Kusini akosoa vikwazo vya madola ya Magharibi dhidi ya Iran
Nov 28, 2022 23:54Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amekosoa kuendelea vikwazo vya madola ya Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mahakama Afrika Kusini yakosolewa kwa kumuachia Mzungu katili
Nov 22, 2022 04:33Uamuzi wa Mahakama ya Kikatiba ya Afrika Kusini kumuachia huru raia mbaguzi wa Poland aliyekuwa akitumia kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Chris Hani, mmoja wa viongozi waliokuwa wanapinga utawala wa zamani wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini (apartheid).
-
Iran na Afrika Kusini zaazimia kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Nov 17, 2022 04:14Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wamesisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa nchi hizi mbili katika nyuga tofauti.
-
Makumi ya maiti za wachimba migodi 'haramu' zapatikana Afrika Kusini
Nov 03, 2022 08:29Polisi ya Afrika Kusini inachunguza kisa cha kugunduliwa makumi ya maiti za watu wanaoshukiwa kuwa wachimba migodi 'haramu' katika mji wa Krugersdorp, magharibi mwa jiji la Johannesburg.
-
Afrika Kusini yaishambulia US kwa kutoa 'tahadhari ya shambulio la kigaidi'
Oct 29, 2022 07:26Viongozi wa Afrika Kusini wameikosoa serikali ya Marekani kwa kutoa tahadhari ya uwezekano wa kutokea shambulizi la kigaidi katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Mazungumzo ya amani ya Tigray kufanyika Oktoba 24 Afrika Kusini
Oct 21, 2022 00:42Mazungumzo ya amani ya kujaribu kutatua mgogoro katika eneo la Tigray huko kaskazini mwa Ethiopia kati ya serikali kuu na wapiganaji wa TPLF yameratibiwa kufanyika wiki ijayo.
-
Rais wa Syria asisitiza ulazima wa kupambana na misingi ya kifikra ya ugaidi
Aug 26, 2022 22:52Rais Bashar al Assad wa Syria amesisitiza ulazima wa kupambana na misingi ya kifikra ya ugaidi na akaeleza kwamba, kupambana na ugaidi hakutawezekana kwa kutumia nguvu za kijeshi pekee, kwa sababu idiolojia ya mitazamo ya kufurutu ada haitambui mipaka bali inajipanua na kuenea kwa kasi kutoka nchi moja hadi nyingine.
-
Iran na Afrika Kusini zalaani jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza
Aug 07, 2022 02:50Iran na Afrika Kusini zimelaani vikali jinai za kinyama zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina.
-
Afrika Kusini yaripoti kifo cha kwanza kilichosababishwa na chanjo ya Corona
Aug 04, 2022 20:43Afrika Kusini jana Alkhamisi ilitangaza habari ya kuaga dunia mtu mmoja baada ya kupigwa chanjo cha kukabiliana na maradhi ya Covid-19 ya Johnson and Johnson ya Marekani.
-
Mjukuu wa Mandela: Mapinduzi ya Kiislamu yameipa ilhamu Afrika Kusini
Aug 03, 2022 08:02Mjukuu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanatoa ilhamu na motisha kwa taifa hilo la kusini mwa Afrika.