-
Afrika Kusini yataka Israel itambuliwe kama 'utawala wa apathaidi'
Jul 28, 2022 03:11Afrika Kusini imeelezea wasiwasi wake juu ya ukatili unaoendelea wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina na kwa msingi huo imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuitambua Israel kama taifa la apathaidi au ubaguzi wa rangi.
-
Watu wengine 9 wauawa kwa kupigwa risasi Afrika Kusini
Jul 18, 2022 03:08Watu wasiopungua tisa wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika matukio mawili tofauti ya ufyatuaji risasi nchini Afrika Kusini.
-
Watu wasiopungua 21 wauawa katika matukio matatu ya ufyatuaji risasi Afrika Kusini
Jul 10, 2022 22:05Watu wasiopungua 21 wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika matukio matatu tofauti ya ufyatuaji risasi yaliyotokea kwenye vilabu na kumbi za starehe nchini Afrika Kusini.
-
Maiti 17 zapatikana kwenye ukumbi wa starehe Afrika Kusini
Jun 26, 2022 06:48Polisi ya Afrika Kusini inachunguza vifo vya kutatanisha vya watu 17 kwenye ukumbi mmoja wa starehe katika mji wa East London, kusini mashariki mwa nchi.
-
Afrika Kusini yasajili kesi ya kwanza ya ugonjwa wa Monkeypox
Jun 23, 2022 20:46Afrika Kusini imeripoti kesi ya kwanza iliyothibitishwa ya ugonjwa wa virusi wa Monkeypox.
-
Watu 1400 wameuawa katika mkoa wa Gauteng nchini Afrika Kusini
Jun 15, 2022 07:26Polisi ya Afrika Kusini imesema watu zaidi ya 1,400 wameuawa katika mkoa wa Gauteng ulioko kaskazini mashariki mwa nchi katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu 2022.
-
Balozi: Safari ya Rais wa Iran nchini Afrika Kusini itaimarisha uhusiano wa nchi mbili
May 31, 2022 21:01Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amesema safari tarajiwa ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Afrika Kusini katika mwezi wa Oktoba au Novemba mwaka huu itakuwa fursa ya kuimarisha uhusiano wa nchi mbili.
-
Jumanne, 31 Mei, 2022
May 30, 2022 22:00Leo ni Jumanne tarehe 29 Mfunguo Mosi Shawwal 1443 Hijria sawa na tarehe 31 Mei 2022.
-
Iran na Afrika Kusini zitilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano baina yao
May 23, 2022 20:48Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa ametilia mkazo wajibu wa kuimarishwa ushirikiano baina ya nchi yake na Afrika Kusini na kusisitiza kuwa, kutiwa nguvu ushirikiano baina ya Tehran na Pretoria ni jambo la dharura sana kwa ajili ya kupambana na fikra potofu ya kila nchi kujikumbizia mambo yote upande wake.
-
Rais wa Iran aipongeza Afrika Kusini kwa kuadhimisha Siku ya Taifa
Apr 27, 2022 22:20Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi mwenzake wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa kwa mnasaba wa taifa hilo la Kiafrika kuadhimisha Siku ya Taifa.