-
Maambukizi ya UVIKO-19 yaongezeka Afrika Kusini
Apr 22, 2022 03:25Afrika Kusini ambayo ilikuwa shwari kutokana na kupungua kwa maambukizi ya corona kwa kiasi fulani katika siku za karibuni imetangaza kukumbwa kwa mara nyingine tena na ongezeko la maambukizi ya corona nchini humo.
-
Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa kuwaunga mkono wananchi wa Palestina
Apr 15, 2022 07:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza Afrika Kusini kwa misimamo yake ya kuwaunga mkono na kuwatetea wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Walioaga dunia kwa mafuriko Afrika Kusini waongezeka, wafikia 253
Apr 13, 2022 21:56Idadi ya watu waliofariki dunia katika jimbo la KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini kutokana na mafuriko yaliyosababisha uharibifu mkubwa, imefikia zaidi ya 250.
-
Utafiti: Mabadiliko ya tabianchi yameshadidisha vimbunga Afrika
Apr 12, 2022 05:54Timu ya kimataifa ya wanasayansi wa hali ya hewa imesema vimbunga vilivyoshuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni katika nchi za kusini mwa Afrika vilisababishwa na mabadiliko ya tabianchi.
-
Rais wa Afrika Kusini alaani hujuma dhidi ya raia wa kigeni
Apr 11, 2022 22:11Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema ni jambo la kusikitisha kuona kuwa hisia na hujuma dhidi ya raia wa kigeni zinashabihiana na yale yaliyokuwa yakijiri nchini humo katika zama za utawala wa ubaguzi wa rangi au apathaidi.
-
Ramaphosa: Mgogoro wa Ukraine umefichua udhaifu wa Baraza la Usalama la UN
Apr 08, 2022 22:02Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema mgogoro wa Ukraine umeanika wazi udhaifu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, na namna taasisi hiyo kubwa zaidi ya kimataifa isivyo na uwezo wa kuidhaminia dunia amani na usalama.
-
Maandamano ya kulaani ongezeko la visa vya uhalifu yafanyika Afrika Kusini
Apr 07, 2022 05:45Mamia ya watu wamefanya maandamano nchini Afrika Kusini kulalamikia ongezeko la visa vya uhalifu wanavyodai kuwa vinafanywa na raia wa kigeni nchini humo.
-
Ramaphosa: NATO ndiyo ya kulaumiwa kwa vita vya Russia nchini Ukraine
Mar 18, 2022 11:31Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ameilaumu NATO kwa vita vya Ukraine na kusema kuwa atapinga wito wa kuilaani Russia. Matamshi haya ya Ramaphosa yanatia shaka iwapo atakubaliwa na Ukraine au nchi za Magharibi kama mpatanishi katika mzozo huo.
-
Benki ya Dunia: Afrika Kusini inaongoza kwa ufa mkubwa wa umiliki wa kipato duniani
Mar 10, 2022 08:55Benki ya Dunia imetangaza kuwa Afrika Kusini ndiyo nchi yenye ufa mkubwa zaidi wa tofauti ya kipato baina ya watu wake kutokana na asilimia 10 ya raia wake wazungu kumiliki zaidi ya asilimia 80 ya utajiri wote wa nchi hiyo. Ripoti hiyo imesema, mbari na rangi za watu ndilo suala linalochangia zaidi hali hiyo.
-
Afrika Kusini yataka Israel ichukuliwe hatua kwa jinai zake za 'apartheid'
Feb 18, 2022 07:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa, kuna haja ya kuchukuliwa hatua ya moja kwa moja dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na jinai na mienendo yake ya ubaguzi wa rangi wa apartheid.