Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Maambukizi ya aina mpya ya spishi ya Omicron yachachamaa Afrika Kusini

    Maambukizi ya aina mpya ya spishi ya Omicron yachachamaa Afrika Kusini

    Feb 05, 2022 01:08

    Afrika Kusini imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya aina mpya ya spishi ya kirusi cha Corona cha Omicron, iliyopewa jina la kitaalamu la BA.2.

  • Aliyechoma moto Bunge la Afrika Kusini kuhukumiwa Februari 4

    Aliyechoma moto Bunge la Afrika Kusini kuhukumiwa Februari 4

    Jan 31, 2022 00:34

    Zandile Mafe atajua hatima yake siku chache zijazo baada ya mahakama ya jimbo la Cape Town nchini Afrika Kusini kueleza kuwa itatoa hukumu kuhusu mtuhumiwa huyo tarehe 4 mwezi ujao wa Februari. Zandile Mafe anakabiliwa na tuhuma za kuchoma kwa makusudi jengo la Bunge la Afrika Kusini

  • Simba waambukizwa Corona na wahudumu wa mbuga Afrika Kusini

    Simba waambukizwa Corona na wahudumu wa mbuga Afrika Kusini

    Jan 20, 2022 00:56

    Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Pretoria nchini Afrika Kusini wamesema simba watatu na puma wawili waliopatikana na maambukizi ya virusi vya Corona waliambukizwa na wafanyakazi wa mbuga moja ya wanyamapori nchini humo.

  • Waislamu Afrika Kusini wataka kulindwa turathi za kale Cape Town

    Waislamu Afrika Kusini wataka kulindwa turathi za kale Cape Town

    Jan 16, 2022 04:35

    Wanaharakati wa Kiislamu katika wilaya ya Bo-Kaap jijini Cape Town nchini Afrika Kusini wametoa mwito wa kulindwa na kuhifadhiwa turathi na athari za kale hususan za kidini katika eneo hilo ambalo aghalabu ya wakazi wake ni Waislamu.

  • Vinasaba vya askari wa Afrika Kusini wanaolinda amani DRC vyakusanywa ili kubaini baba za watoto

    Vinasaba vya askari wa Afrika Kusini wanaolinda amani DRC vyakusanywa ili kubaini baba za watoto

    Jan 13, 2022 00:42

    Jeshi la Afrika Kusini limepeleka timu yake kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO, ili kuchunguza vinasaba (DNA) vya watoto na wanawake waliobakwa na walinda amani ili hatimaye kuthibitisha iwapo watuhumiwa ni walinda amani kutoka Afrika Kusini na kisha watoto hao watambue baba zao na pia kupatiwa malezi.

  • Upinzani Afrika Kusini wakituhumu chama tawala kuliteketeza kwa moto jengo la Bunge

    Upinzani Afrika Kusini wakituhumu chama tawala kuliteketeza kwa moto jengo la Bunge

    Jan 03, 2022 08:48

    Mmoja wa viongozi wa vyama vya upinzani nchini Afrika kusini amekituhumu chama tawala cha Kongresi ya Taifa cha nchi hiyo (ANC) kuwa kimehusika na moto ulioteketeza kikamilifu sehemu ya jengo la Bunge la nchi hiyo.

  • Moto uliochoma Bunge Afrika Kusini, Ramaphosa atoa amri ya kufanyika uchunguzi

    Moto uliochoma Bunge Afrika Kusini, Ramaphosa atoa amri ya kufanyika uchunguzi

    Jan 03, 2022 04:09

    Rais wa Afrika Kusini ametoa amri ya kufanyika uchunguzi wa kina na wa haraka baada ya jengo la Bunge la nchi hiyo kuteketea kikamilifu kwa moto mjini Cape Town. Jengo hilo lina umri wa miaka 138.

  • Wazimamoto Afrika Kusini wadhibiti moto uliounguza majengo ya Bunge, Cape Town

    Wazimamoto Afrika Kusini wadhibiti moto uliounguza majengo ya Bunge, Cape Town

    Jan 02, 2022 07:21

    Ripoti kutoka Afrika Kusini zinasema kuwa kikosi cha zimamoto kimefanikiwa kudhibiti kwa kiasi fulani moto mkubwa uliokuwa ukiunguza jengo la Bunge la nchi hiyo jijini Cape Town.

  • Ramaphosa: Desmond Tutu alikuwa mzalendo asiye na kifani

    Ramaphosa: Desmond Tutu alikuwa mzalendo asiye na kifani

    Dec 26, 2021 23:13

    Katika ujumbe wake kwenye mtandao wa Twitter, Rais wa Afrika Kusini amemtaja Askofu Mkuu Desmond Tutu, mwanaharakati wa vuguvugu la kupinga ubaguzi wa rangi nchini humo, kuwa alikuwa mzalendo wa kipekee.

  • Mahakama yamwamuru rais wa zamani wa Afrika Kusini arudi jela kumaliza kifungo chake

    Mahakama yamwamuru rais wa zamani wa Afrika Kusini arudi jela kumaliza kifungo chake

    Dec 15, 2021 11:26

    Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imemwamuru aliyekuwa rais wa nchi hiyo Jacob Zuma arudi jela baada ya kufuta uamuzi wa kumtoa kifungoni kwa sababu za kitiba.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS