Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Afrika Kusini yasema aina mpya ya Corona si tishio kwa sasa

    Afrika Kusini yasema aina mpya ya Corona si tishio kwa sasa

    Sep 03, 2021 21:56

    Waziri wa Afya wa Afrika Kusini amesema wanasayansi wameitaarifu serikali ya nchi hiyo kuwa, spishi mpya ya kirusi cha Corona iliyoripotiwa miezi michache iliyopita nchini humo si hatari na tishio kwa sasa.

  • Afrika Kusini yapinga Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika AU

    Afrika Kusini yapinga Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika AU

    Jul 28, 2021 22:03

    Serikali ya Afrika Kusini imepinga kitendo cha kutambuliwa utawala haramu wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika (AU.

  • Waliouawa katika ghasia za Afrika Kusini wapindukia 330

    Waliouawa katika ghasia za Afrika Kusini wapindukia 330

    Jul 23, 2021 03:19

    Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kuwa, idadi ya watu waliouawa katika ghasia zinazoendelea nchini humo imepindukia 300.

  • Wataalamu wa haki za binadamu: UAE inawapa hifadhi watuhumiwa wa kesi kubwa za ufisadi nchini Afrika Kusini

    Wataalamu wa haki za binadamu: UAE inawapa hifadhi watuhumiwa wa kesi kubwa za ufisadi nchini Afrika Kusini

    Jul 18, 2021 03:49

    Tovuti ya Marekani ya Foreign Policy imechapisha makala ya wataalamu wawili katika mashirika ya haki za binadamu wakiitaka Imarati (UAE) ishirikiane na serikali ya Afrika Kusini na kuwakabidhi washukiwa wa tuhuma za ufisadi na kuhujumu uchumi.

  • Cyril Ramaphosa asema, machafuko ya Afrika Kusini 'yamechochewa na kupangwa'

    Cyril Ramaphosa asema, machafuko ya Afrika Kusini 'yamechochewa na kupangwa'

    Jul 16, 2021 22:45

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa ghasia kubwa na uporaji ambao umeitikisa nchi hiyo kwa wiki nzima iliyopita vilipangwa na kuchochewa. Ramaphosa ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kwanza katika maeneo yaliyoathiriwa na machafuko mabaya zaidi kuwahi kutokea nchini humo katika kipindi cha baada ya utawala wa ubaguzi wa rangi, Apartheid.

  • Rais wa Afrika Kusini apasisha kumiminwa mitaani askari 25,000 kudhibiti ghasia

    Rais wa Afrika Kusini apasisha kumiminwa mitaani askari 25,000 kudhibiti ghasia

    Jul 16, 2021 07:31

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameidhinisha kumiminwa mitaani askari 25,000 ili kudhibiti ghasia zilizozuka baada ya kufungwa jela rais wa zamani wa nchi hiyo, Jacob Zuma.

  • Afrika Kusini: Watu wasiopungua 45 wameuawa katika maandamano ya kumuunga mkono Zuma

    Afrika Kusini: Watu wasiopungua 45 wameuawa katika maandamano ya kumuunga mkono Zuma

    Jul 13, 2021 08:25

    Idadi ya waliofariki dunia kutokana na vurugu na uporaji unaoendelea Afrika Kusini kwa siku kadhaa sasa imeongezeka hadi 45.

  • Wafuasi wa Zuma waandamana Afrika Kusini kumtetea kiongozi wao aliyefungwa jela

    Wafuasi wa Zuma waandamana Afrika Kusini kumtetea kiongozi wao aliyefungwa jela

    Jul 11, 2021 00:13

    Wafuasi wa rais wa zamani wa Afrika Kusini walifanya maandamano jana Jumamosi katika mkoa wa KwaZulu Natal wakipinga kufungwa jela mwanasiasa huyo anayetuhumiwa kuhusika na ufisadi.

  • Waziri wa Sheria: Raisi wa zamani wa A. Kusini, Zuma anaweza kuachiwa huru baada ya miezi 4

    Waziri wa Sheria: Raisi wa zamani wa A. Kusini, Zuma anaweza kuachiwa huru baada ya miezi 4

    Jul 09, 2021 02:53

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anaweza kuachiliwa huru kutoka gerezani baada ya miezi minne. Hayo yalisema jana na Waziri wa Sheria wa Afrika Kusini, siku moja baada ya kiongozi huyo wa zamani kuwashangaza wafuasi wake kwa kujisalimisha kwa polisi na kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15.

  • Mahakama ya Katiba Afrika Kusini imekubali kusikiliza hoja ya Zuma ya kupinga kufungwa jela

    Mahakama ya Katiba Afrika Kusini imekubali kusikiliza hoja ya Zuma ya kupinga kufungwa jela

    Jul 04, 2021 03:47

    Mahakama ya Katiba nchini Afrika kusini imekubali kusikiliza hoja ya Rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma ya kupinga dikrii inayoagiza yeye kwenda jela kwa miezi 15 kwa kosa la kudharau mahakama.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS