-
Mahakama Afrika Kusini yamhukumu Zuma zaidi ya mwaka mmoja jela
Jun 29, 2021 21:55Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, ambaye kesi yake ya ufisadi inaendelea, amehukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani kwa kudharau korti.
-
Afrika Kusini yasema nchi tajiri zinafanya 'apartheid ya chanjo' ya Corona
May 10, 2021 22:20Rais wa Afrika Kusini ametahadharisha kuwa, iwapo nchi tajiri duniani zitaendelea kuhodhi chanjo za ugonjwa wa Covid-19, huku mamilioni ya watu katika nchi masikini wakiendelea kuaga dunia kwa kukosa chanjo hizo, kitendo hicho ni sawa na 'apartheid ya chanjo.'
-
Rais Rouhani asisitiza haja ya kuimarishwa uhusiano wa Iran na Afrika Kusini
Apr 27, 2021 08:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo suala la kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa taifa hili na Afrika Kusini katika nyuga anuai.
-
Rais Ramaphosa ataka Afrika ianze kujizalishia chanjo ya Covid-19
Apr 13, 2021 02:21Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema bara la Afrika linahitaji ujuzi na uwezo wa kujitengenezea chanjo za kupambana na ugonjwa wa Covid-19, wakati huu ambapo bara hilo linakumbwa na uhaba mkubwa wa chanjo hizo.
-
Raia 50 wa Afrika Kusini watoweka kufuatia shambulio la kigaidi Msumbiji
Apr 04, 2021 06:28Afrika Kusini imesema raia wake zaidi ya 50 hawajulikani walipo mpaka sasa baada ya magaidi kuvamia na kuudhibiti mji wa Pwani wa Palma nchini Msumbiji, huku taarifa zikisema kuwa makumi ya watu wameuawa katika shambulio hilo.
-
Jaji Mkuu Afrika Kusini atakiwa kuomba radhi kwa kutoa matamshi yanayoiunga mkono Israel
Mar 05, 2021 04:43Tume ya Mahakama za Afrika Kusini imemwamuru Jaji Mkuu wa nchi hiyo kuomba radhi na kutengua matamshi aliyotoa mwaka jana ambayo yalitambuliwa kuwa yanauunga mkono utawala ghasibu wa Isarel, katika nchi hiyo ya Kiafrika inayotetea watu wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Afrika Kusini: Chanjo ya corona ya AstraZeneca inavunja moyo
Feb 17, 2021 07:13Waziri wa Afya wa Afrika Kusini amesema amevunjwa moyo na taathira ndogo ya chanjo ya corona ya AstraZeneca kwa virusi vipya vya corona.
-
Rais wa Afrika Kusini atangaza juhudi za kufufua uchumi nchini humo
Feb 14, 2021 00:16Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza habari za juhudi kubwa zinazofanywa na serikali yake za kufufua uchumi wa nchi hiyo ulioathiriwa vibaya na maambukizi ya kirusi hatari cha corona.
-
Jeshi la Afrika Kusini laruhusu askari wanawake wa Kiislamu kuvaa hijabu kazini
Jan 29, 2021 04:22Jeshi la Afrika Kusini limefanyia marekebisho kanuni zake za uvaaji na sasa limewaruhusu askari wanawake wa Kiislamu nchini humo kuvalia vazi la stara la hijabu wakiwa kazini.
-
Maelfu wakamatwa Afrika Kusini kwa kutovaa barakoa
Jan 13, 2021 23:10Polisi ya Afrika Kusini imewatia mbaroni maelfu ya watu waliokutwa katika maeneo ya umma bila barakoa.