-
Mripuko wa homa ya manjano waua watu 25 nchini Ghana
Nov 18, 2021 02:56Mripuko wa homa ya manjano umesababisha vifo vya watu wasiopungua 25 nchini Ghana.
-
Mamilioni ya Watanzania wanasumbuliwa na matatizo ya akili
Oct 10, 2021 07:56Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayohusiana na afya ya akili. Hayo yamebainika wakati huu ambapo nchi hiyo ya Afrika Mashariki imejiunga na nchi zingine duniani hii leo kuadhimisha Siku ya Afya ya Akili.
-
UN: Nusu ya wananchi wa Yemen hawana hata maji safi ya kunywa
Aug 30, 2021 07:10Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, karibu nusu ya wananchi wa Yemen hawana hata maji safi ya kunywa kutokana na vita walivyobebeshwa wananchi hao.
-
Mripuko wa kipindupindu waua watu 479 nchini Nigeria
Jul 28, 2021 11:16Mamia ya watu wameripotiwa kuaga dunia kutokana na mripuko wa maradhi ya kipindupindu nchini Nigeria.
-
Mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu waua 50 nchini Nigeria
Apr 07, 2021 03:29Makumi ya watu wameripotiwa kuaga dunia kutokana na mripuko wa maradhi ya kipindupindu nchini Nigeria.
-
Sudan Kusini kuwapa chanjo ya Polio watoto milioni 2.8
Feb 26, 2021 07:54Wizara ya Afya ya Sudan Kusini kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani WHO na Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF inaendesha kampeni ya kuwapa chanjo ya ugonjwa wa kupooza (Polio) watoto milioni 2.8 nchini humo.
-
Mripuko mpya wa tauni waua watu 31 Kongo DR
Feb 20, 2021 13:26Mripuko mpya wa ugonjwa angamizi wa tauni umeibuka kaskazini mashariki Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo hadi sasa watu zaidi ya 30 wanaripotiwa kupoteza maisha.
-
Pelosi ataka faili la hali ya kiafya ya Trump liwekwe wazi, Trump asema ni kichaa
Oct 10, 2020 02:32Spika wa Kongresi ya Marekani Nancy Pelosi amesema kuwa Wamarekani wana haja ya kujua hali ya kiafya ya Rais Donald Trump akiashiria maradhi yake ya virusi vya corona na kulazwa hospitalini kwa siku kadhaa.
-
Afya na Michezo/Mazoezi
Sep 22, 2020 12:38Meza ya Ulimwengu wa Michezo imekuandalia makala inayochambua umuhimu wa kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbalimbali kwa afya na siha ya mwanadamu.
-
Waziri wa Mafuta Yemen: Wasaudi wamepora mamilioni ya mapipa ya mafuta ya Yemen
Jul 26, 2020 13:39Waziri wa Mafuta wa Yemen amesema, kwa miaka kadhaa ya karibuni, muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia pamoja na mamluki wao wamepora akiba kubwa ya mafuta ya nchi hiyo.