Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

al shabab

  • Vikosi vya Somalia vyaukomboa mji wa Runirgoud kutoka kwa magaidi wa Al-Shabaab

    Vikosi vya Somalia vyaukomboa mji wa Runirgoud kutoka kwa magaidi wa Al-Shabaab

    Dec 24, 2022 07:40

    Mashambulizi ya Jeshi la Somalia (SNA) dhidi ya kundi la magaidi wa Al-Shabaab yamepata mafanikio mapya baada ya vikosi vyake kuukomboa mji wa Runirgoud, ngome ya mwisho ya magaidi hao wakufurishaji huko Shabelle ya Kati, takriban kilomita 240 kaskazini mashariki mwa mji mkuu Mogadishu.

  • AU: Kundi la al-Shabaab linaelekea kusambaratika nchini Somalia

    AU: Kundi la al-Shabaab linaelekea kusambaratika nchini Somalia

    Nov 30, 2022 10:57

    Umoja wa Afrika umesema vitendo vya hivi karibuni vya kundi la kigaidi la al-Shabaab vya kuwalenga raia wasio na hatia katika mashambulizi yao vinaashiria namna genge hilo lilivyopoteza udhibiti wa ngome zake, kutokana na operesheni za Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) na waitifaki wake.

  • Mzingiro wa al-Shabaab katika hoteli Somalia wahitimishwa, raia 9 na askari mmoja wauawa

    Mzingiro wa al-Shabaab katika hoteli Somalia wahitimishwa, raia 9 na askari mmoja wauawa

    Nov 29, 2022 07:53

    Vikosi vya usalama vya Somalia vimevamia hoteli moja katika mji mkuu Mogadishu ili kumaliza mzingiro wa siku moja wa wapiganaji wa al-Shabab ambao waliwaua watu tisa kwenye jengo lililoko karibu na makazi ya rais katika mji huo.

  • Wanamgambo 27 wa al Shabab wauawa katika shambulio la anga Somalia

    Wanamgambo 27 wa al Shabab wauawa katika shambulio la anga Somalia

    Sep 23, 2022 07:52

    wanamgambo 27 kundi la kigaidi la al Shabab la nchini Somalia wameuawa katika shambulio la anga lililotekelezwa katika mkoa wa kati wa Hiran ambako jeshi la Somalia na majeshi waitifaki yalianzisha oparesheni dhidi ya kundi hilo mwezi uliopita.

  • Waliouawa katika shambulio dhidi ya hoteli Mogadishu wapindukia 20

    Waliouawa katika shambulio dhidi ya hoteli Mogadishu wapindukia 20

    Aug 22, 2022 04:24

    Watu wasiopungua 21 wameuawa huku wengine 117 wakijeruhiwa, baada ya kundi la kigaidi la la al-Shabaab kuwashika mateka mamia ya watu katika hoteli moja huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.

  • Al-Shabaab yaua watu 17 katika shambulio karibu na Ethiopia

    Al-Shabaab yaua watu 17 katika shambulio karibu na Ethiopia

    Jul 22, 2022 03:12

    Kundi la kigaidi la al-Shabaab la Somalia limefanya shambulio nadra karibu na nchi jirani ya Ethiopia, lililopelekea kuuawa watu wasiopungua 17, wakiwemo raia watatu.

  • Rais wa Somalia: Ukifika wakati mwafaka tutafanya mazungumzo na Ash-Shabaab

    Rais wa Somalia: Ukifika wakati mwafaka tutafanya mazungumzo na Ash-Shabaab

    Jul 08, 2022 02:08

    Rais mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema, kuhitimisha uasi wa utumiaji silaha unaofanywa na kundi la Ash-Shabaab unahitaji mbinu nyingine kuliko ya kijeshi na kwa hivyo utakapofika wakati mwafaka, serikali yake itafanya mazungumzo na kundi hilo lenye misimamo ya kufurutu ada.

  • Shambulio la kundi la kigaidi la as-Shabaab dhidi ya askari wa kulinda amani nchini Somalia

    Shambulio la kundi la kigaidi la as-Shabaab dhidi ya askari wa kulinda amani nchini Somalia

    May 05, 2022 05:30

    Jeshi la Burundi limetangaza kuwa askari wake 10 wa kulinda amani wanaohudumu nchini Somalia chini ya mwavuli wa Umoja wa Afrika wameuawa katika shambulio lililotekelezwa na kundi la kigaidi la as-Shabaab katika kambi ya askari wa umoja huo.

  • Watu 3 wauliwa katika shambulio la al Shabab katika kambi ya AU Somalia

    Watu 3 wauliwa katika shambulio la al Shabab katika kambi ya AU Somalia

    May 04, 2022 08:12

    Kundi la wanamgambo wa al Shabab lenye makao yake nchini Somalia limeishambulia kambi ya wanajeshi wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Afrika (AU) katika mkoa wa Shabelle katikati ya Somalia.

  • Magaidi 7 wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia eneo la Mudug

    Magaidi 7 wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia eneo la Mudug

    Apr 04, 2022 11:23

    Kikosi maalumu cha Danab cha Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) kimefanikiwa kuwaangamiza wanachama saba wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katikati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS