-
Askari wa Somalia wazima hujuma za al-Shabaab dhidi ya kambi za jeshi
Apr 03, 2021 09:42Jeshi la Taifa la Somalia limetangaza kuwa, askari wa nchi hiyo wamefanikiwa kuzima mashambulio ya kundi la kigaidi la al-Shabaab yaliyolenga kambi mbili za kijeshi kusini mwa nchi.
-
Msumbiji yaanzisha oparesheni kubwa ya kukomboa mji wa Palma
Mar 29, 2021 11:37Wizara ya Ulinzi ya Msumbiji imetangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo limeanzisha oparesheni kubwa ya kukomboa mji wa pwani wa Palma unaodhibitiwa na kundi linalojiita al Shabab.
-
Magaidi 52 wa al-Shabaab wauawa katika shambulio dhidi ya jela nchini Somalia
Mar 05, 2021 12:29Wanamgambo wasiopungua 52 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameangamizwa katika shambulio la wapiganaji hao dhidi ya jela moja iliyoko katika jimbo la Puntland,kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Magaidi 15 wa al-Shabaab wauawa katika operesheni ya jeshi la Somalia
Feb 26, 2021 03:29Wanamgambo 15 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia kusini mwa nchi.
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulio la kigaidi la al-Shabaab Somalia
Feb 01, 2021 03:18Kwa akali watu watatu wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabaab kushambulia hoteli moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu kwa mabomu na risasi.
-
Uganda yakanusha madai kuwa jeshi lake limeua magaidi 189 wa al-Shabaab
Jan 28, 2021 04:19Serikali ya Uganda imekadhibisha taarifa kuwa jeshi la nchi hiyo UPDF limeua wanachama 189 wa genge la al-Shabaab kusini magharibi mwa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Watu watano wauawa katika hujuma ya kigaidi Dhobley, Somalia
Dec 30, 2020 04:33Watu watano wameuawa na wengine wawili wamejeruhiwa kwenye mlipuko uliojiri kwenye barabara ya mji wa Dhobley katika mkoa wa Lower Juba kusini mwa Somalia.
-
Jeshi la Kenya lashambulia maficho ya al-Shabaab na kuua kadhaa
Dec 28, 2020 00:21Kikosi Maalumu cha Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) jana Jumapili kilishambulia maficho ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika Msitu wa Boni kaunti ya Lamu, pwani ya Kenya na kuangamiza wanachama kadhaa wa genge hilo.
-
Al-Shabaab yakiri kumuua chifu wa Wajir Kenya kwa kumkata kichwa
Dec 23, 2020 12:23Kundi la kigaidi la al-Shabaab lenye makao yake nchini Somalia limekiri kuwa ndilo lililomteka nyara na kumuua kwa kumkata kichwa chifu mmoja wa kaunti ya Wajir, huko kaskazini mashariki mwa Kenya.
-
Jeshi la Somalia lawaangamiza mamluki wenye mfungamano na kundi la al Shabaab
Dec 01, 2020 08:00Mamluki kadhaa wenye mfungamano na kundi la kigaidi la al Shabaab la huko Somalia wameuawa katika mapigano kati ya kundi hilo na jeshi la Somalia.