-
Nchi za Afrika zina wasiwasi kuhusu oparesheni ya Al-Shabab ya kuajiri wapiganaji Somalia
Nov 13, 2020 11:27Mawaziri wa nchi za Afrika ambazo zina askari katika kikosi cha kulinda amani nchini Somalia wamebainisha wasiwasi wao kuhusu kampeni ya kundi la Al-Shabab ya kuajiri wapiganaji wapya nchini Somalia.
-
Magaidi 17 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Somalia, Hiran
Nov 06, 2020 02:36Jeshi la Taifa la Somalia SNA limetangaza habari ya kuwaangamiza wanachama 17 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika eneo la Hiran, katikati mwa nchi hiyo.
-
Kamanda wa ngazi za juu wa al-Shabaab auawa na jeshi la Somalia
Nov 02, 2020 04:26Serikali ya Somalia imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kumuangamiza kamanda wa ngazi za juu wa wanamgambo wa kundi la al-Shabaab, kusini mwa nchi hiyo.
-
Al-Shabaab inakusanya ushuru mkubwa zaidi ya serikali ya Somalia
Oct 28, 2020 04:38Ripoti mpya imefichua kuwa, kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab linakusanya kodi na ushuru mkubwa hata zaidi ya ule unaokusanywa na serikali ya Somalia.
-
Wanajeshi 13 wa Somalia wauawa katika makabiliano na al-Shabaab
Oct 16, 2020 03:10Kwa akali askari 13 wa Jeshi la Taifa la Somalia wameuawa katika makabiliano makali baina yao na wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabaab karibu na wilaya ya Afgoye, kaskazini magharibi mwa mji mkuu, Mogadishu.
-
Magaidi wa al-Shabaab wavamia kambi ya AMISOM, kadhaa wauawa
Sep 29, 2020 13:37Wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni mbili zilizojiri katika eneo la Lower Shabelle kusini mwa Somalia.
-
Jeshi la Somalia laua wanamgambo 16 wa al-Shabaab
Sep 23, 2020 07:26Wanachama 16 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia katika jimbo la Galmadug, katikati mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Magaidi 7 wa al-Shabaab waangamizwa na askari kusini mwa Somalia
Sep 17, 2020 08:06Wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia huko kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Gaidi ajiripua mbele ya msikiti, kusini mwa Somalia
Sep 12, 2020 00:43Duru za habari za ndani na nje ya Somalia zimetangaza kuwa gaidi mmoja amejiripua kwa mabomu nje ya msikiti mmoja wa kusini mwa nchi hiyo.
-
30 wauawa katika mapigano baina ya al-Shabaab na wanakijiji Somalia
Sep 06, 2020 07:35Makumi ya watu wameuawa katika makabiliano makali baina ya wanamgambo wa al-Shabaab na wanakijiji katikati mwa Somalia.