-
Wapiganaji 18 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab waangamizwa nchini Somalia
Jul 19, 2020 06:52Kwa akali wapiganaji 18 wa kundi la kiigaidi la al-Shabab wameangamizwa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia mashambulio ya jeshi la nchi hiyo dhidi ya wanamgambo hao katika mji wa Jilib.
-
Magaidi 5 wa al-Shabaab waangamizwa kusini mwa Somalia
Jul 07, 2020 07:13Jeshi la Kitaifa la Somalia limetangaza habari ya kuangamiza wanachama watano wa kundi la kigaidi la al-Shabaab huko kusini magharibi mwa nchi.
-
Kamanda wa al Shabab aangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia
Jun 26, 2020 06:43Redio ya serikali ya Somalia imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kumuangamiza kamanda wa wanamgambo wa kundi la al Shabab.
-
Jeshi la Somalia laangamiza magaidi 37 wa al-Shabaab
Jun 08, 2020 02:39Jeshi la Taifa la Somalia limetangaza kuwa limefanikiwa kuua makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab huko kusini mwa nchi.
-
Jeshi la Somalia laua magaidi wengine 7 wa al-Shabaab
May 27, 2020 03:39Jeshi la Taifa la Somalia limefanikiwa kuangamiza wanachama saba wa kundi la kigaidi la al-Shabaab katika eneo la Hiran, katikati mwa nchi.
-
Wanachama kadhaa wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Jubaland
May 26, 2020 02:27Jeshi la eneo lenye mamlaka ya ndani la Jubaland limetangaza habari ya kuangamiza wanachama wanne wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab katika mji wa Dhobley, Kusini mwa Somalia.
-
Al-Shabaab waibuka na jipya, wadai askari wa AU wanaeneza Corona Somalia
Mar 29, 2020 08:07Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab la Somalia limekataa mwito wa kusitisha vita wakati huu wa kukabiliana na janga la Covid-19, huku likiwalaumu askari wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini humo (Amisom) kwa kueneza virusi vya Corona.
-
Jeshi la Somalia laua magaidi 12 wa al-Shabaab kusini mwa Somalia
Mar 27, 2020 08:00Wanachama 12 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia katika eneo la Bay, kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Jeshi la Somalia lapambana na wanamgambo wa Ahlu Sunnah Wal Jama’a (ASWJ)
Feb 28, 2020 13:09Jeshi la Somalia mapema leo Ijumaa limepambana na wanamgambo wa kundi moja la kikanda katika kile kinachotajwa na Wasomali kuwa ni mapigano makali zaidi baada ya misuguano ya kisiasa inayoendelea kuikwamisha nchi hiyo katika dimbwi la ghasia na machafuko.
-
Magaidi wa Al Shabab washambulia vituo viwili vya kijeshi Somalia
Feb 20, 2020 13:09Magaidi wa kundi la Al Shabab wametekeleza mashambulizi dhidi ya vituo viwli vya Jeshi la Somalia katika eneo la Lower Shabelle na kuua askari wasiopungua wanne.