Pars Today
Makumi ya watu wameuawa katika makabiliano makali baina ya askari wa Jeshi la Taifa la Somalia na wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabaab karibu na mji wa Baidoa, kusini magharibi mwa Somalia.
Maafisa wa serikali ya Somalia wametangaza habari ya kuuawa wanachama 20 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab katika shambulizi lililolilenga gari yao katikati mwa nchi hiyo.
Kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab la Somalia limeteka mji wa kistratajia ulioko karibu na mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.
Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limedai kuwa limeua watu sita katika shambulizi la bomu lililolenga ofisi kuu za Kikosi cha Pamoja cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) zilizoko mjini Mogadishu.
Makumi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia katika eneo la Lower Shabelle, kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
Serikali ya Ethiopia imetangaza habari ya kuwatia mbaroni wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wakila njama za kutekeleza mashambulizi katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
Watu watatu wamethibitishwa kupoteza maisha katika shambulizi la bomu katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Kamati ya Umoja wa Mataifa inayochunguza matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Burundi imetangaza kuwa, Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza amekuwa akihusika katika vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini humo.
Jeshi la Somalia limetangaza kuwa, limewaangamiza wanachama 15 wa kundi la kigaidi la al-Shabab katika operesheni ya jeshi hilo katika siku za hivi karibuni.
Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda limewaua kwa kuwakata vichwa watu watano wanaoshukiwa kuwa majasusi, kusini mwa Somalia.