-
Rouhani: Muamala wa Karne ni muamala wa fedheha na chuki
Feb 02, 2020 07:38Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja 'Muamala wa Karne' kama mpango wa Marekani wa kufedhehesha, aibu na wenye kuchukiza.
-
Bahman 12; Kuanza maadhimisho ya Alfajiri Kumi; dhihirisho la umoja na mshikamano wa taifa la Iran
Feb 01, 2020 11:17Leo Jumamosi tarehe 12 mwezi Bahman sawa na Februari Mosi ni siku ya kuanza alfajiri kumi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Maadhimisho ya "Alfajiri Kumi" ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaanza rasmi nchini Iran
Feb 01, 2020 08:14Leo Jumamosi, tarehe 12 Bahman mwaka 1398 Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe Mosi Februari 2020 Miladia yameanza rasmi maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Imani na kumtegemea Mwenyezi Mungu; siri ya ushindi na kudumu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 01, 2020 06:55Ni matumaini kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi, ambacho ni kipindi cha tangu kurejea Imam Khomeini kutoka uhamishoni hadi kupatikana ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Waandishi 300 wa kigeni wanatarajiwa kuripoti sherehe za Mapinduzi ya Kiislamu kesho Jumatatu
Feb 10, 2019 07:46Kaimu wa Mkuu wa Baraza la Uratibu la Taasisi ya Tablighi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mbali na vyombo vya habari vya ndani, waandishi wa habari 300 wa vyombo vya kigeni nao watashiriki kuakisi tukio muhimu sana katika historia ya Iran la maadhimisho ya Bahman 22, siku zinapofikia kileleni sherehe za Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Miaka 40 ya kuwa bega kwa bega wanawake na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 04, 2019 05:48Tukichunguza kwa makini mapinduzi na mabadiliko mbalimbali ambayo yametokea duniani hadi sasa tutabaini kuwa wanawake wameshiriki na wametoa mchango athirifu katika akthari ya mapinduzi hayo. Katika moja ya sifa maalumu za Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni kushiriki kwa wingi wanawake na mchango mkubwa waliotoa katika mapinduzi hayo.
-
Alfajiri Kumi na Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 02, 2019 13:15Tarehe 12 Bahman sawa na tarehe Mosi Februari, inasadifiana na mwanzo wa sherehe za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Qur'ani Katika Medani ya Mapinduzi ya Kiislamu (1)
Feb 03, 2019 08:26Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hususan huko nyumbani Afrika Mashariki. Katika siku hizi, wananchi wa Iran wanaendelea na sherehe za Alfajiri Kumi katika kona zote za nchi kwa ajili ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 nchini Iran.
-
'Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamesimama imara'
Feb 02, 2019 02:48Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameashiria njama za maadui dhidi ya Iran na kusema: "Pamoja na kuwepo uhasama wote huo, lakini Mapinduzi ya Kiislamu yamesimama imara na yanaendelea kupata nguvu na izza."
-
Tamasha la Kimataifa la Filamu la Fajr la Iran kufanyika Aprili
Feb 18, 2018 07:37Tamasha la Kimataifa la Filamu la Fajr la Iran (FIFF) limepangwa kufanyika chini ya miezi miwili ijayo huku idadi kubwa ya filamu ikiwania kushiriki katika tamasha hilo.