Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Tahadhari iliyotolewa na Algeria kuhusu njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kulidhibiti bara la Afrika

    Tahadhari iliyotolewa na Algeria kuhusu njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kulidhibiti bara la Afrika

    Dec 07, 2021 01:26

    Kwa muda mrefu sasa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umetumia sera na mbinu tofauti ili kujipenyeza na kuwa na satua katika nchi za Afrika, muhimu zaidi ikiwa ni ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na nchi za Kiarabu; sera ambayo imeweza kutekelezwa kivitendo katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita kwa msaada na uungaji mkono wa Marekani.

  • Rais wa Algeria: Nchi za Kiarabu zinapaswa kulisaidia taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Israel

    Rais wa Algeria: Nchi za Kiarabu zinapaswa kulisaidia taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Israel

    Dec 07, 2021 00:01

    Rais wa Algeria amesisitiza udharura wa nchi za Kiarabu kushirikiana kwa ajili ya kusaidia mapambano ya ukombozi ya wananchi wa Palestina dhidi ya utawala vamizi na ghasibu wa Israel.

  • Algeria: Morocco imetengwa kutokana na kuanzisha muungano wa kijeshi na Israel

    Algeria: Morocco imetengwa kutokana na kuanzisha muungano wa kijeshi na Israel

    Dec 04, 2021 07:54

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Algeria amesisitiza kuwa, kadiri Morocco inavyochukua hatua yoyote ile ya kutaka kuimarisha muungano wake wa kijeshi haribifu na utawala vamizi wa Israel ndivyo inavyozidi kuwa mbali na Algeria.

  • Algeria yafunga ofisi zake sita za kibalozi nchini Ufaransa

    Algeria yafunga ofisi zake sita za kibalozi nchini Ufaransa

    Nov 19, 2021 04:09

    Katika kile kinachoonekana ni kuendelea kuvurugika uhusiano wa kidiplomasia kati ya Ufaransa na Algeria, serikali ya Algiers imetangaza habari ya kufunga balozi zake ndogo zipatazo sita katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Algeria na Afrika Kusini zapinga tena Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika AU

    Algeria na Afrika Kusini zapinga tena Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika AU

    Nov 16, 2021 13:21

    Algeria na Afrika Kusini zimetangaza tena msimamo wao wa kupinga utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika, AU.

  • Iran yaipongeza Algeria kwa kupinga Israel kuwa mwanachama mwangalizi Umoja wa Afrika

    Iran yaipongeza Algeria kwa kupinga Israel kuwa mwanachama mwangalizi Umoja wa Afrika

    Nov 12, 2021 07:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya hivi karibuni ya Algeria kupinga utawala haramu wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika.

  • Rais wa Algeria akataa mwaliko wa Ufaransa wa kushiriki katika mkutano wa Paris kuhusu Libya

    Rais wa Algeria akataa mwaliko wa Ufaransa wa kushiriki katika mkutano wa Paris kuhusu Libya

    Nov 11, 2021 08:22

    Rais wa Algeria ametangaza kuwa, hatashiriki katika mkutano wa Paris ulioitishwa kwa ajili ya kujadili hali ya kisiasa nchini Libya.

  • Umoja wa Mataifa wazitaka Algeria na Morocco kupunguza mzozo baina yao

    Umoja wa Mataifa wazitaka Algeria na Morocco kupunguza mzozo baina yao

    Nov 07, 2021 04:03

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitolea wito Algeria na Morocco kufanya juhudi za kupunguza mzozo na mivutano baina yao.

  • Algeria: Ni baidi kurejeshwa uhusiano wa kawaida na Ufaransa katika mazingira ya sasa

    Algeria: Ni baidi kurejeshwa uhusiano wa kawaida na Ufaransa katika mazingira ya sasa

    Nov 07, 2021 00:12

    Rais wa Algeria amesema katika mazingira ya sasa ni jambo lililombali kuweza kurejeshwa uhusiano wa kawaida na Ufaransa baada ya matamshi hatari yaliyotolewa na rais wa nchi hiyo.

  • Wanajeshi Sudan waendelea kukabiliana na waandamanaji; vurugu zatawala

    Wanajeshi Sudan waendelea kukabiliana na waandamanaji; vurugu zatawala

    Oct 29, 2021 04:36

    Vyombo vya usalama nchini Sudan vimeendelea kupambana na waandamanaji wenye hasira wanaoipinga mapinduzi ya kijeshi ya Jumatatu iliyopita ambayo yamezidi kuzorotesha kipindi cha mpito cha kidemokrasia, na kusababisha ukosolewaji mkubwa kieneo na kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS