-
Algeria yaikosoa Morocco kwa kuiingiza Israel katika njama hatari dhidi ya Algiers
Oct 24, 2021 03:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria ameikosoa nchi jirani ya Morocco kwa kuuingiza utawala wa Kizayuni wa Israel katika njama hatari dhidi ya serikali ya Algiers.
-
Wahajiri kadhaa wafariki dunia katika ajali ya boti pwani ya Algeria
Oct 18, 2021 00:22Wizara ya Ulinzi ya Algeria imesema wahajiri wanne wamekufa maji baada ya boti waliokuwa wakisafiria kuzama katika Bahari ya Mediterania, huko pwani ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Algeria yazima njama ya utawala haramu wa Israel
Oct 13, 2021 23:23Vyombo rasmi vimetangaza kuwa, askari usalama wa Algeria wamefanikiwa kuzima njama iliyokuwa imepangwa kutekelezwa na maadui wa nchi hiyo kwa kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Algeria yayasusia na kuyawekea vikwazo mashirika 500 ya Ufaransa
Oct 11, 2021 23:04Taasisi moja ya Algeria imetangaza habari ya kususiwa na kuwekewa vikwazo mashirika 500 ya Ufaransa nchini humo, ikiwa ni majibu ya Algiers kwa matamshi ya kifidhuli ya rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron.
-
Tebboune: Algeria si koloni tena la Ufaransa
Oct 11, 2021 04:44Rais wa Algeria imetangaza kuwa Ufaransa inapasa kusahau kuwa Algeria ni nchi iliyokoloniwa.
-
Macron akataa tena kuomba radhi kwa masaibu yaliyosababishwa na ukoloni wa Ufaransa barani Afrika
Oct 09, 2021 04:45Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekataa tena kuomba radhi kutokana na athari mbaya za historia ya ukoloni wa nchi yake barani Afrika, akielezea hamu yake ya kuanzisha mtindo mpya wa uhusiano na bara hilo.
-
Ufaransa yataka kuondolewa mivutano katika uhusiano wake na Algeria
Oct 05, 2021 23:36Rais wa Ufaransa ametoa wito wa kuondolewa mivutano katika uhusiano wa nchi hiyo na Algeria.
-
Algeria yakadhibisha madai ya Morocco kuhusu kuwepo Hizbullah huko Tindouf
Oct 04, 2021 22:50Algeria imekadhibisha madai yaliyotolewa na Morocco kwamba wapiganaji wa harakati ya Hizbullah wako katika mji wa Tindouf kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa wapigania uhuru wa Polisario huko Sahara Magharibi. Algeria imeyataja madai hayo kuwa ni uongo mtupu.
-
Mvutano katika uhusiano wa Algeria na Ufaransa
Oct 03, 2021 13:43Usiku wa Jumamosi iliyopita serikali ya Algeria ilimwita nyumbani balozi wake nchini Ufaransa kwa ajili ya mashauriano ikilalamikia matamshi yaliyotolewa na Rais Emmanuel Macron dhidi ya nchi hiyo.
-
Algeria yaizuia Morocco kupita katika anga yake; uhusiano wazidi kuharibika
Sep 23, 2021 04:36Serikali ya Algeria imetangaza kuwa, imeifungia Morocco anga yake hatua ambayo inazidi kuchochea mvutano ulioshadidi hivi karibuni baina ya majirani hao wawili kufuatia hatua ya Algiers ya kuvunja uhusiano wake wa kidiplomasia na Rabat.