-
Wahanga wa moto wa msituni Algeria waongezeka, wafikia 90
Aug 15, 2021 22:08Maafisa husika nchini Algeria wametangaza kuwqa idadi idadi ya wahanga wa moto mkubwa ulioikumba misitu nchini humo inazidi kuongezeka.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa taifa la Algeria kufuatia makumi kuuawa na moto misituni
Aug 12, 2021 03:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza masikitiko yake baada ya moto mkubwa unaoendelea kuteketeza misitu nchini Algeria, kuua makumi ya watu na kuwaacha wengine wengi bila makazi.
-
Moto wauawa watu 7 katika misitu ya Algeria
Aug 10, 2021 23:16Kwa akali watu saba wamepoteza maisha baada ya moto mkubwa kuteketeza misitu katika mkoa wa Tizi Ouzou nchini Algeria.
-
Matukio ya Tunisia, ajenda kuu ya mazungumzo ya waziri wa mambo ya nje wa Algeria Misri
Aug 02, 2021 05:52Ramtane Lamamra, Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria ambaye yuko Misri amekutana na kuzungumza na rais wa nchi hyo kuhusu uhusiano wa nchi mbili na matukio ya Tunisia.
-
Algeria yaipokonya leseni televisheni ya Saudia kwa 'upotoshaji'
Aug 01, 2021 03:32Serikali ya Algeria imeipokonya kanali moja ya televisheni ya Saudi Arabia leseni ya kuhudumu nchini humo.
-
Msimamo mmoja wa nchi 14 za Afrika wa kupinga utawala wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika
Aug 01, 2021 02:15Kanali ya al-Waaqe' ya Algeria ilitangaza Jumamosi kuwa nchi hiyo imeanzisha rasmi mchakato wa kubuni kundi la Kiafrika litakalofuatilia kutenguliwa uamuzi wa kuruhusiwa utawala haramu wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika AU, ili kulinda misingi ya umoja huo inayounga mkono taifa la Palestina.
-
Mwanajudo wa Algeria: Nimefurahi kuona hatua yangu imeikasirisha Israel
Jul 30, 2021 03:32Fath-i Nurin, mwanamichezo wa mchezo wa Judo wa Algeria ambaye kwa sababu ya kutokubali kuutambua utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kwa ajili kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina hakuwa tayari kupambana na mshindani kutoka utawala huo katika mashindano ya Olimpiki ya Tokyo 2020, amesema, amefurahia hatua yake hiyo kwa kuwa imeikasirisha Tel Aviv.
-
Algeria yalaani Israel kuteuliwa mwanachama mtazamaji wa Umoja wa Afrika
Jul 26, 2021 22:02Algeria imekosoa vikali hatua ya Umoja wa Afrika (AU) ya kuupa utawala wa Kizayuni wa Israel kibali cha kuwa mwanachama mtazamaji wa umoja huo.
-
Wanaharakati wa nchi 5 za kaskazini mwa Afrika: Kuna udharura wa kukabiliana na mwenendo wa kuanzisha uhusiano na Israel
Jul 25, 2021 22:09Wanaharakati kutoka nchi tano za kaskazini mwa Afrika ambazo ni Algeria, Tunisia, Morocco, Libya na Mauritania wamesisitiza udharura wa kukabiliana na hatua ya baadhi ya nchi ya kuanzisha uhusiano rasmi wa na utawala ghasibu wa Israel.
-
Mwanajudo wa Algeria ajitoa kwenye michezo ya Olimpiki akikataa kupambana na Mzayuni
Jul 23, 2021 06:23Mwanamichezo wa mchezo wa Judo wa Algeria ameamua kujitoa kwenye michezo ya Olimpiki ya 2020 Tokyo inayofunguliwa rasmi leo katika mji mkuu huo wa Japan, ikiwa ni harakati ya kutangaza mshikamano na Palestina na kupinga kuanzishwa uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.