Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Algeria yamwita nyumbani balozi wake wa Morocco kwa sababu ya mzozo wa Sahara Magharibi

    Algeria yamwita nyumbani balozi wake wa Morocco kwa sababu ya mzozo wa Sahara Magharibi

    Jul 18, 2021 22:59

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria imemwita nyumbani balozi wake wa nchini Morocco na hata kudokeza kuwa itachukua hatua nyingine zaidi, ukiwa ni mkwaruzano mpya katika mvutano uliozuka baina ya majirani hao wawili wa Afrika Kaskazini juu ya eneo lenye mgogoro la Sahara Magharibi.

  • Rais wa Algeria asisitiza kuangamizwa utawala wa Kizayuni

    Rais wa Algeria asisitiza kuangamizwa utawala wa Kizayuni

    Jul 15, 2021 06:54

    Rais wa Algeria jana usiku alifanya mazungumzo ya simu na Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na kusisitiza kuwa, nchi yake itaendelea kuwa bega kwa bega na Wapalestina hadi kuangamizwa maghasibu Wazayuni na kuundwa dola huru la Palestina.

  • Algeria: Hakuna amani bila ya kuundwa nchi huru ya Palestina

    Algeria: Hakuna amani bila ya kuundwa nchi huru ya Palestina

    Jul 09, 2021 02:29

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Algeria amesema kuwa taifa la Palestina linataka amani na kwamba jambo hilo halitatimia bila ya kuundwa nchi huru ya Palestina.

  • Ufaransa yakataa kutoa ramani za maeneo iliyofanyia majaribio ya mabomu ya nyuklia Algeria

    Ufaransa yakataa kutoa ramani za maeneo iliyofanyia majaribio ya mabomu ya nyuklia Algeria

    Jul 07, 2021 23:48

    Baada ya takribani miaka 60 tokea Ufaransa ihitimishe ukoloni na ukaliaji mabavu wa Algeria, taathira za jinai zake katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika zingali zinahisika na wakuu wa Paris hawako tayari kufidia hasara ambazo waliwasababishia Waalgeria.

  • Algeria: Ufaransa inakataa kutoa ramani ya maeneo yaliyotumiwa kwa majaribio ya nyuklia

    Algeria: Ufaransa inakataa kutoa ramani ya maeneo yaliyotumiwa kwa majaribio ya nyuklia

    Jul 05, 2021 05:49

    Waziri wa Mujahideen (maveterani wa vita vya ukombozi) nchini Algeria, Tayeb Zitouni amesema kuwa Ufaransa inakataa kuikabidhi nchi hiyo ramani ya maeneno yaliyotumiwa kwa ajili ya majaribio ya milipuko ya nyuklia yaliyofanywa na serikali ya Paris katika majangwa ya Algeria kwenye miaka ya sitini ya karne iliyopita.

  • Maandamano ya wiki hii ya wananchi wa Algeria yalikuwa ni ya Ijumaa ya 124

    Maandamano ya wiki hii ya wananchi wa Algeria yalikuwa ni ya Ijumaa ya 124

    Jul 03, 2021 22:07

    Wananchi wa Algeria wanaendelea na maandamano yao ya kila wiki ambapo maandamano yaliyofanyika Ijumaa wiki hii, yalikuwa ya 124 ya kutaka mabadiliko ya kimsingi ya mfumo wa kisiasa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Jumuiya 82 za kutetea haki za binadamu zaitaka UN kusitisha ukandamizaji nchini Algeria

    Jumuiya 82 za kutetea haki za binadamu zaitaka UN kusitisha ukandamizaji nchini Algeria

    Jun 27, 2021 22:40

    Jumuiya 82 za kutetea haki za binadamu zimetoa wito wa kukomeshwa ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya dola nchini Algeria.

  • Algeria yaifungia kanali ya Ufaransa ya

    Algeria yaifungia kanali ya Ufaransa ya "France 24"

    Jun 14, 2021 03:41

    Serikali ya Algeria imeipokonya kanali ya televisheni ya Ufaransa ya France 24 leseni ya kuhudumu nchini humo, siku moja baada ya kufanyika uchaguzi wa Bunge katika nchi hiyo ya Kiarabu ya kaskazini mwa Afrika.

  • Jumatatu tarehe 14 Juni 2021

    Jumatatu tarehe 14 Juni 2021

    Jun 14, 2021 00:42

    Leo ni Jumatatu tarehe 3 Dhilqaada 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 14 Juni mwaka 2021.

  • Algeria yapinga tena kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Algeria yapinga tena kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Jun 03, 2021 03:41

    Rais wa Algeria jana usiku kwa mara nyingine amesisitiza kuwa, nchi yake abadan haitaanzisha uhusiano na utawala ghasibu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS