Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ansarullah

  • Yemen kuendeleza mlingano wa

    Yemen kuendeleza mlingano wa "kuishambulia Riyadh mkabala wa Sana'a"; yatoa onyo pia kwa US

    Sep 21, 2026 10:27

    Mkuu wa idara ya habari ya ofisi ya rais wa Yemen amesema, serikali ya Sana'a imedhamiria kuendeleza mlingano wa "Riyadh mkabala wa Sana'a" wa kuushambulia kijeshi mji mkuu wa Saudi Arabia mkabala wa kushambuliwa mji mkuu wa nchi hiyo Sana'a na kutoa onyo pia kwa serikali ya Marekani.

  • Al-Houthi: Madai ya Saudia kuwa Yemen imelenga Makkah ni “uongo wa kuchukiza,” na kashfa ya wazi

    Al-Houthi: Madai ya Saudia kuwa Yemen imelenga Makkah ni “uongo wa kuchukiza,” na kashfa ya wazi

    Sep 18, 2026 03:46

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, Sayyid Abdul-Malik al-Houthi, amelaani vikali madai ya Saudi Arabia kuwa vikosi vya Yemen vimelenga mji mtakatifu wa Makkah, akifutilia mbali madai hayo kama “uongo mkubwa, mbaya, na wa kuchukiza” unaolenga kuhalalisha vita vya Saudia dhidi ya Yemen.

  • Ansarullah: Tuhuma ya kuishambulia Makka ni 'uongo mkubwa' wa Saudia; Wayemen ndio watetezi wa kweli wa maeneo matakatifu

    Ansarullah: Tuhuma ya kuishambulia Makka ni 'uongo mkubwa' wa Saudia; Wayemen ndio watetezi wa kweli wa maeneo matakatifu

    Sep 17, 2026 03:26

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya wananchi wa Yemen, Ansarullah, imesisitiza tena msimamo wa serikali ya Sana'a wa kukanusha vikali madai ya Saudi Arabia kwamba Jeshi la Yemen linatishia kuyashambulia maeneo matakatifu katika mji wa Makka nchini Saudia.

  • Ansarullah ya Yemen yaitaka Saudia ijiondoe kwenye gwanda na mwavuli wa Marekani na Israel

    Ansarullah ya Yemen yaitaka Saudia ijiondoe kwenye gwanda na mwavuli wa Marekani na Israel

    Sep 09, 2026 11:42

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imeituhumu Saudi Arabia kuwa inatekeleza mipango ya Kizayuni katika eneo na kuwataka watawala wa Riyadh wajiondoe kwenye gwanda na mwavuli wa himaya ya Marekani na utawala wa Kizayuni.

  • Harakati ya Ansarullah yalaani vitisho vya muungano wa Saudi Arabia; yasema ni ishara ya kushindwa Riyadh

    Harakati ya Ansarullah yalaani vitisho vya muungano wa Saudi Arabia; yasema ni ishara ya kushindwa Riyadh

    Jul 05, 2026 11:04

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amelaani vitisho vya hivi karibuni vya muungano unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen, akisema kuwa vinafichua kufeli Riyadh kisiasa na kijeshi pamoja na kushindwa kwake kusambaratisha mapambano ya Yemen licha ya nchi hiyo kuathirikwa kwa miaka mingi na vita na mzingiro.

  • Ansarullah yatishia kushambnulia vituo vyovyote vya Israel katika eneo la Somaliland

    Ansarullah yatishia kushambnulia vituo vyovyote vya Israel katika eneo la Somaliland

    Jun 26, 2026 11:20

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, Abdul-Malik al-Houthi, ameapa kwamba atashambulia uwepo wowote wa Israel katika eneo lililojitenga na Somalia la Somaliland kwa njia zote zinazowezekana, akisisitiza kwamba Yemen "haitakaa kimya mbele ya uwepo wowote wa Israel huko Somaliland, na haitawasubiri waoga."

  • Ansarullah ya Yemen yaionya Marekani baada ya Trump kukataa mpango wa amani wa Iran

    Ansarullah ya Yemen yaionya Marekani baada ya Trump kukataa mpango wa amani wa Iran

    May 12, 2026 04:21

    Afisa mwandamizi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen ameonya kuwa Marekani italazimika kubeba dhima ya madhara ya kukataa mapendekezo mapya ya Iran ya kumaliza vita, kufuatia matamshi ya kupinga yaliyotolewa na Rais wa Marekani Donald Trump.

  • Ansarullah ya Yemen: Iran inahami mustakbali wake na Umma wa Kiislamu

    Ansarullah ya Yemen: Iran inahami mustakbali wake na Umma wa Kiislamu

    Mar 20, 2026 08:10

    Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa yoyote atakayepuuza haki ya Iran ya kujihami atakuwa amemhudumia adui.

  • Ansarullah yalaani mauaji ya umati ya umwagaji damu ya Israel mashariki mwa Lebanon

    Ansarullah yalaani mauaji ya umati ya umwagaji damu ya Israel mashariki mwa Lebanon

    Feb 23, 2026 00:09

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imelaani vikali "mauaji ya umati ya umwagaji damu" yaliyofanywa na utawala wa Israel katika eneo la Beqaa mashariki mwa Lebanon, na kuuwa takriban watu kumi na kujeruhi wengine wengi.

  • Ansarullah: Kujizatiti upya kijeshi maadui katika eneo ni ishara kwamba Muqawama ungali hai

    Ansarullah: Kujizatiti upya kijeshi maadui katika eneo ni ishara kwamba Muqawama ungali hai

    Feb 21, 2026 07:38

    Mjumbe mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Yemen ya Ansarullah ametoa taarifa akieleza kwamba kuzungumziwa duru mpya ya vita vinavyotaka kuanzishwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Muqawama ni sawa na adui kukiri kwamba alishindwa katika vita vilivyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS