Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ansarullah

  • Ansarullah ya Yemen: Kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel ni usaliti kwa Palestina

    Ansarullah ya Yemen: Kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel ni usaliti kwa Palestina

    Sep 17, 2020 22:13

    Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni khiyana na usaliti wa wazi kwa taifa la Palestina.

  • Ansarullah ya Yemen: Saudia na Imarati zina nafasi haribifu katika eneo la Asia Magharibi

    Ansarullah ya Yemen: Saudia na Imarati zina nafasi haribifu katika eneo la Asia Magharibi

    Sep 14, 2020 22:05

    Katibu Mkuu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ametahadharisha kuhusu hatari ya Saudi Arabia na Imarati na nafasi haribifu ya nchi hizo katika eneo la magharibi mwa Asia.

  • Ansarullah yataka kuundwa muungano wa Kiislamu wa kupinga uhusiano na Israel

    Ansarullah yataka kuundwa muungano wa Kiislamu wa kupinga uhusiano na Israel

    Sep 12, 2020 02:26

    Msemaji wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah ametoa wito wa kuundwa muungano wa Kiislamu dhidi ya hatua yoyote ya kuanzishwa uhusiano baina ya nchi za Kiarabu na utawala haramu wa Israel.

  • Umuhimu wa mashambulizi ya Ansarullah dhidi ya mji wa Abha huko Saudi Arabia

    Umuhimu wa mashambulizi ya Ansarullah dhidi ya mji wa Abha huko Saudi Arabia

    Sep 11, 2020 20:10

    Katika siku za karibuni jeshi na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen wamekuwa wakishambulia uwanja wa ndege wa Abha katika mkoa wa Asir huko kusini mwa Saudi Arabia kwa kutumia ndege zisizo na rubani (drone).

  • Ansarullah ya Yemen yapiga kwa kombora, droni maeneo ya kistratajia Riyadh, Saudia

    Ansarullah ya Yemen yapiga kwa kombora, droni maeneo ya kistratajia Riyadh, Saudia

    Sep 11, 2020 00:15

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imelenga kwa kombora la balestiki na ndege zisizo na rubani (droni) maeneo ya kistratajia ndani ya mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.

  • Al Houthi: Saudi Arabia na Imarati ni vinara wa unafiki

    Al Houthi: Saudi Arabia na Imarati ni vinara wa unafiki

    Aug 30, 2020 22:43

    Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesema kuwa Saudi Arabia na Imarati ni vinara wa kambi ya unafiki.

  • Ansarullah: Kimya cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu mbele ya mapatano ya Abu Dhabi-Tel Aviv kinaaibisha

    Ansarullah: Kimya cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu mbele ya mapatano ya Abu Dhabi-Tel Aviv kinaaibisha

    Aug 17, 2020 02:16

    Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya wananchi wa Yemen amesema kuwa kimya cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) mbele ya hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel ni fedheha na aibu kubwa.

  • Ansarullah: Kambi ya Muqawama itaendelea kukabiliana na Marekani, Israel

    Ansarullah: Kambi ya Muqawama itaendelea kukabiliana na Marekani, Israel

    Jul 27, 2020 07:47

    Harakati ya Ansarullah ya wananchi wa Yemen imetangaza kuwa pande zote za Muqawama ni kambi moja inayopambana na ubeberu wa Marekani.

  • Shambulio la Muungano wa Kijeshi wa Saudi Arabia dhidi ya mji wa al-Jawf; kusubiriwa jibu kali la Ansarullah

    Shambulio la Muungano wa Kijeshi wa Saudi Arabia dhidi ya mji wa al-Jawf; kusubiriwa jibu kali la Ansarullah

    Jul 17, 2020 22:05

    Ndege za kijeshi za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen hivi karibuni ulifanya shambulio la anga dhidi ya sherehe ya harusi ya kabila la Bani Nouf katika mji wa Hazm mkoani al-Jawf na kusababisha kwa akali watu 24 kuuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa.

  • Ansarullah yapinga mapendekezo ya mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen

    Ansarullah yapinga mapendekezo ya mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen

    Jul 10, 2020 20:12

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imepinga mpango uliopendekezwa na Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya nchi hiyo, Martin Griffiths kuhusu mgogoro wa Yemen ikisema unapendelea muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS