-
Al Houthi aituhumu WFP kwa kununua chakula kibovu kwa ajili ya watu wa Yemen
Jan 01, 2019 11:40Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amelituhumu Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kuwa limenunua bidhaa za chakula kilichoharibika kwa ajili ya wananchi wa Yemen.
-
Kukiuka Saudi Arabia makubaliano ya Sweden
Dec 18, 2018 07:57Baada ya kupita siku tano tangu kufikiwa makubaliano baina ya makundi ya Yemen, Saudi Arabia imeendelea kukiuka makubaliano hayo.
-
Al Houthi: Tarehe ya kusimamishwa vita al Hudaydah Yemen imeshajulikana
Dec 16, 2018 04:04Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen ameukabidhi ujumbe wa San'a unaoshiriki kwenye mazungumzo ya amani ya nchi hiyo huko Sweden, tarehe ya kusimamisha vita katika mkoa wa al Hudaydah.
-
Mwakilishi wa Ansarullah: Mazungumzo ya amani Yemen yaidhinishwe na Baraza la Usalama
Dec 07, 2018 04:28Mkuu wa ujumbe wa harakati ya Ansarullah ya Yemen kwenye mazungumzo ya amani yaliyoanza Sweden amesema kuwa matokeo ya mazungumzo hayo yanapasa kupasishwa kama azimio la Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa na kuwa sheria inayopaswa kutekelezwa.
-
Msemaji wa Ansarullah: Tutaigeuza Yemen kuwa 'makaburi' ya wavamizi
Nov 11, 2018 04:25Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, wananchi wa nchi hiyo wamesimama kidete na kwa mara nyingine tena wamethibitisha kwamba, Yemen ni 'makaburi' ya wavamizi.
-
'Njama dhidi ya Yemen zinatekelezwa na Marekani, Saudi Arabia na UAE'
Nov 07, 2018 13:09Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema hujuma ya kijeshi dhidi ya nchi yake imeshika kasi zaidi baada ya utawala wa Rais Donlad Trump wa Marekani kutaka mazungumzo yafanyike kumaliza vita.
-
Ansarullah yakataa usuluhishi wa Marekani katika jitihada za kutatua mgogoro wa Yemen
Oct 31, 2018 12:02Harakati ya Ansarullah ya Yemen imepinga pendekezo la Marekani la kufanya juhudi za upatanishi ili kutatua mgogoro wa Yemen na kusema kuwa Washington ni muhusika mkuu katika uvamizi huo wa kijeshi dhidi ya Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Msemaji wa Ansarullah: Vita vya Yemen ni wenzo wa kufanikisha "Muamala wa Karne"
Sep 14, 2018 19:28Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa vita vya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen ni kibiashara inayotumiwa na Marekani ili kuendeleza njama mpya ya Washington na Wazayuni ya "Muamala wa Karne" dhidi ya Palestina.
-
Wizara: Saudi Arabia inakwamisha juhudi za kutatuliwa kisiasa mgogoro wa Yemen
Sep 06, 2018 09:59Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Yemen imetangaza katika taarifa yake kwamba, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia umeuzuia ujumbe wa Ansarullah kushiriki katika mazungumzo ya amani ya Geneva Uswisi.
-
Majeshi wa majini ya Yemen yalenga meli ya kivita ya Saudia pwani ya Jizan
Sep 01, 2018 21:50Majeshi ya majini ya Yemen, yakishirikiana na Kamati za Wananchi, yamelenga meli ya kivita ya Saudia katika eneo la mpakani la Jizan kusini magharibi mwa Saudi Arabia.