Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ansarullah

  • Answarullah: Sio kweli kwamba tumekubali kuukabidhi Umoja wa Mataifa bandari ya Al Hudaydah

    Answarullah: Sio kweli kwamba tumekubali kuukabidhi Umoja wa Mataifa bandari ya Al Hudaydah

    Jun 28, 2018 09:11

    Harakati ya Wananchi ya Answarullah nchini Yemen imekadhibisha baadhi ya habari za vyombo vya habari vya nchi za Magharibi kwamba imekubali kukabidhi usimamizi wa bandari ya Al Hudaydah kwa Umoja wa Mataifa.

  • Tathmini ya Abdul Malik al Houthi kuhusu vita dhidi ya bandari ya al Hudaydah nchini Yemen.

    Tathmini ya Abdul Malik al Houthi kuhusu vita dhidi ya bandari ya al Hudaydah nchini Yemen.

    Jun 16, 2018 02:23

    Abdul Malik al Houthi, Katibu Mkuu wa Harakati ya Answarullah ya Yemen ametoa hotuba maalumu kwa mnasaba wa sikukuu ya Idul Fitr na kutathmmini matukio ya hivi karibuni ya Yemen na medani ya vita katika mji wa bandari wa al Hudaydah akisisitiza kuwa Israel, Marekani na Saudi Arabia zote zinashiriki kikamilifu katika vita hivyo.

  • Ansarullah: Al-Hudaydah itakuwa makaburi ya askari vamizi

    Ansarullah: Al-Hudaydah itakuwa makaburi ya askari vamizi

    Jun 15, 2018 00:07

    Kiongozi wa ngazi ya juu wa Harakati ya wananchi ya Ansarullah nchini Yemen amesema kuwa, shambulizi dhidi ya meli ya kivita ya Saudi Arabia katika pwani ya al-Hudaydah ni jibu imara dhidi ya wavamizi linalotoa ujumbe wa wazi kwamba, eneo hilo litakuwa makaburi ya askari vamizi.

  • Answarullah: Kuna mpasuko mkubwa katika muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen

    Answarullah: Kuna mpasuko mkubwa katika muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen

    May 22, 2018 09:53

    Mwakilishi wa Harakati ya Kiislamu ya Answarullah huko Iraq, ameelezea kuwepo mpasuko mkubwa ndani ya safu ya muungano vamizi dhidi ya Yemen ambao unaongozwa na Saudi Arabia.

  • Mamluki wa Saudia raia wa Sudan waendelea kuangamizwa Yemen

    Mamluki wa Saudia raia wa Sudan waendelea kuangamizwa Yemen

    Apr 22, 2018 09:26

    Makumi ya mamluki wa Sudan waliokodishwa na Saudi Arabia wameuawa na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen katika eneo la Asir, lililoko katika mpaka wa kusini magharibi mwa Saudia.

  • Answarullah ya Yemen yaiunga mkono Somalia; yaionya Imarati

    Answarullah ya Yemen yaiunga mkono Somalia; yaionya Imarati

    Apr 21, 2018 02:57

    Muhammad Ali al Houthi, mkuu wa Kamati Kuu za Mapinduzi ya Yemen ameiunga mkono Somalia katika mgogoro wake na Imarati ambayo inaingilia waziwazi masuala ya ndani ya Somalia na kuitahadharisha Abu Dhabi kwa kuingilia masuala ya ndani ya Mogadishu.

  • Abdul-Malik al-Houthi: Ujuha wa Waarabu umetoa huduma kubwa kwa Marekani na Israel

    Abdul-Malik al-Houthi: Ujuha wa Waarabu umetoa huduma kubwa kwa Marekani na Israel

    Apr 13, 2018 23:46

    Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, ujuha na ujinga wa Waarabu umetoa huduma kubwa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani.

  • Answarullah yakadhibisha madai ya Mohammad Bin Salman kuhusu Yemen

    Answarullah yakadhibisha madai ya Mohammad Bin Salman kuhusu Yemen

    Mar 07, 2018 11:18

    Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Answarullah nchini Yemen amesema kuwa, matamshi ya Mohammad Bin Salman Al Saud, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia kwamba vita nchini Yemen vinakaribia kuisha ni uongo mtupu.

  • Komandi ya kijeshi ya Imarati yashambuliwa kwa kombora la belestiki Yemen

    Komandi ya kijeshi ya Imarati yashambuliwa kwa kombora la belestiki Yemen

    Feb 23, 2018 21:19

    Jeshi na kamati za kujitolea za wananchi wa Yemen zimeshambulia kwa kombora la belestiki komandi wa kijeshi ya wanajeshi vamizi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) katika mkoa wa Ma'rib nchini Yemen.

  • Wakuu wa Iran, Ansarullah wajadili suluhisho la kisiasa Yemen, utoaji misaada

    Wakuu wa Iran, Ansarullah wajadili suluhisho la kisiasa Yemen, utoaji misaada

    Feb 13, 2018 23:22

    Maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Harakati ya Ansarullah ya Yemen wamefanya mazungumzo mjini Tehran kujadili njia za kuhitimisha mgogoro wa kisiasa katika nchi hiyo ya Kiarabu na udharura wa kuwaikifhsia misaada wananchi wake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS