Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ansarullah

  • Wanawake wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen wako tayari kuingia vitani dhidi ya Saudia

    Wanawake wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen wako tayari kuingia vitani dhidi ya Saudia

    Jan 15, 2018 03:16

    Wanawake wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen jana Jumapili waliandamana kulaani hujuma za kinyama za Saudia dhidi ya raia nchini humo na kusema wako tayari kuingia vitani kukabiliana na wavamizi.

  • UN: Answarullah imefungamana na mazungumzo ya amani

    UN: Answarullah imefungamana na mazungumzo ya amani

    Jan 12, 2018 07:53

    Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Yemen amesema kuwa, harakati ya wananchi ya Answarullah nchini humo imetoa taarifa ya kuheshimu na kufungamana na suala la kuanza upya mazungumzo ya amani nchini humo.

  • Ansarullah kuishambulia Somaliland ikiendelea kushirikiana na UAE dhidi yake

    Ansarullah kuishambulia Somaliland ikiendelea kushirikiana na UAE dhidi yake

    Dec 27, 2017 07:16

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesema ikilazimu, itaishambulia jamhuri iliyojitangazia uhuru ya Somaliland kutokana na hatua yake ya kushirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu dhidi ya wapiganaji wa harakati hiyo ya Houthi.

  • Kiongozi wa Ansarullah Yemen: Wakidondosha mabomu Sanaa tutavurumisha makombora Riyadh na Abu Dhabi

    Kiongozi wa Ansarullah Yemen: Wakidondosha mabomu Sanaa tutavurumisha makombora Riyadh na Abu Dhabi

    Dec 20, 2017 08:04

    Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen Sayyed Abdul-Malik Badruddin al Houthi amesema: "Wavamizi wakidondosha mabomu mjini Sanaa nasi tutavurumisha makombora yetu Riyadh na Abu Dhabi. Kila siku Makombora ya Wayemen yanazidi kuimarika na yanaweza kulenga masafa marefu."

  • Iran yamuita balozi wa Uswisi kulalamikia madai bandia ya Marekani

    Iran yamuita balozi wa Uswisi kulalamikia madai bandia ya Marekani

    Dec 20, 2017 02:38

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa Uswisi mjini Tehran na kumkabidhi malalamiko rasmi kufuatia madai ya hivi karibuni ya Marekani kwamba makombora yanayofyatuliwa na vikosi vya Yemen dhidi ya Saudia yametoka Iran.

  • Ansarullah yavurumisha kombora la balestiki kulenga kasri ya Mfalme wa Saudia

    Ansarullah yavurumisha kombora la balestiki kulenga kasri ya Mfalme wa Saudia

    Dec 19, 2017 13:29

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imefyatua kombora la balestiki kuilenga Kasri ya al-Yamamah, makazi rasmi ya Mfalme Salman wa Saudi Arabia katika mji mkuu Riyadh.

  • Ansarullah yasema imezima tishio kuu kwa usalama wa Yemen

    Ansarullah yasema imezima tishio kuu kwa usalama wa Yemen

    Dec 05, 2017 07:58

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema harakati hiyo imefanikiwa kutibua tishio kuu kwa usalama wa nchi hiyo, kwa kuzima njama zilizoliwa na rais wa zamani wa nchi hiyo aliyeuawa hapo jana, Ali Abdullah Saleh na vikosi vitiifu kwake.

  • Iran yatoa wito wa mazungumzo baina ya Wayemen ili kuvunja njama za adui

    Iran yatoa wito wa mazungumzo baina ya Wayemen ili kuvunja njama za adui

    Dec 04, 2017 07:00

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema mazungumzo ni njia bora zaidi kwa makundi mbali mbali ya Yemen kutatua migogoro yao na kuzuia maadui wa kigeni kutumia vibaya mgogoro uliopo nchini humo.

  • Baada ya Abdullah Swaleh kuisaliti Yemen, Answarullah wadhibiti ofisi yake mjini Sana'a

    Baada ya Abdullah Swaleh kuisaliti Yemen, Answarullah wadhibiti ofisi yake mjini Sana'a

    Dec 03, 2017 14:44

    Askari wa usalama nchini Yemen wamedhibiti ofisi ya Ali Abdullah Saleh, rais wa zamani wa Yemen aliyoitumia kutoa taarifa ya usaliti dhidi ya taifa hilo jana Jumamosi.

  • Harakati ya Ansarullah yavionya baadhi ya vyama vinavyovuruga usalama wa Yemen

    Harakati ya Ansarullah yavionya baadhi ya vyama vinavyovuruga usalama wa Yemen

    Dec 02, 2017 04:35

    Harakati yya Ansarullah ya Yemen imetahadharisha kuhusiana na njama za baadhi ya vyama zinazolenga kuvuruga amani na usalama wa nchi hityo inayokabiliwa na hujuma na mashambulio ya kiijeshi ya Saudi Arabia na washirika wake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS