-
Yemen yazindua makombora mapya, Ansarullah yawaonya wavamizi
Nov 07, 2017 14:15Maafisa wa ngazi za juu wa Yemen na makamanda wa kijeshi wa harakati ya Ansarullah wamezindua makombora mapya yaliyotengenezwa nchini humo katika maoneyesho yaliyofanyika katika mji wa bandarini wa Hudaydah.
-
Ansarullah ya Yemen: Saudi Arabia ipo katika kambi ya utawala haramu wa Israel
Oct 27, 2017 15:30Muhammad Abdul-Salaam, Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Saudi Arabia inataka kuiweka madarakani nchini Yemen serikali kibaraka.
-
Ansarullah ya Yemen: Muungano wa Marekani unaunga mkono ugaidi
Oct 13, 2017 04:25Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, muungano wa kimataifa unaoongozwa na Marekani na unaojulikana kama wa kupambana na ugaidi jina lake linapaswa kuwa "Muungano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Ugaidi."
-
Kiongozi wa Ansarullah: Saudia, UAE zatekeleza njama za ubeberu wa Marekani
Oct 01, 2017 07:04Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema tawala za Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zinaongoza katika kutekeleza njama za ubeberu katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Abdul-Malik al-Houthi: Mpango wa Marekani na Israel Mashariki ya Kati umegonga mwamba
Sep 15, 2017 04:44Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, mapambano na muqawama wa wananchi huko Syria, Lebanon, Iraq na Yemen umepelekea kushindwa mpango wa Marekani na utawala haramu wa Israel katika Mashariki ya Kati.
-
Ansarullah: Wananchi wa Yemen hawana imani na Umoja wa Mataifa
Aug 26, 2017 03:55Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameukosoa utendaji wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Saud na kusisitiza kuwa wananchi wa Yemen hawana imani na umoja huo.
-
Katibu Mkuu wa Ansarullah: Wayamen wamesimama kidete mbele ya jinai za Saudi Arabia
Aug 24, 2017 07:54Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, wananchi wa nchi hiyo wamesimama imara na kidete kwa moyo madhubuti mbele ya jinai za utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia na kwamba, hawatasalimu amri.
-
Kuwait yakadhibisha madai ya Reuters dhidi ya Iran
Aug 03, 2017 02:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Kuwait imetoa taarifa ikikadhibisha madai ya shirika la habari la Reuters kwamba Iran inatumia maji ya Kuwait kutuma silaha kwa harakati ya Ansarullah ya Yemen.
-
Ansarullah Yemen: Saudia inataka kuwa polisi wa Marekani katika Mashariki ya Kati
Jun 08, 2017 02:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia umekuwa ukifanya kila uwezalo ili uwe polisi ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati na uwe ukizichukulia maamuzi tawala zote za Kiarabu.
-
Marekani ndiye muhusika mkuu wa vita vya Yemen
Jun 05, 2017 04:20Katibu Mkuu wa harakati ya Answarullah ya nchini Yemen amesisistiza kuwa, Marekani ndiye muhusika mkuu wa mashambulizi na uvamizi wa Yemen ambao unatekelezwa na Saudi Arabia na Imarati.