-
Ansarullah ya Yemen: Ni fakhari kwetu kuitwa magaidi na utawala wa kigaidi wa Marekani kwa sababu ya Palestina
Jan 18, 2024 06:43Ofisi ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa mjibizo kwa hatua ya Marekani ya kuiweka harakati hiyo kwenye orodha ya kile inachokiita "makundi ya kigaidi" na kueleza kwamba hatua hiyo ya Washington haina thamani wala itibari yoyote.
-
Ansarullah: Marekani haijafikia malengo yake kwa kuishambulia Yemen
Jan 13, 2024 11:52Mkuu wa shirika la habari la Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema mashambulizi ya Marekani dhidi ya vituo vya makombora ya harakati hiyo ya muqawama hayajafanikiwa, na kwamba Washington imeshindwa kufikia malengo yake kwa hujuma hizo.
-
Ansarullah: Marekani na Uingereza zijiandae 'kulipa gharama kubwa' kwa kuishambulia Yemen
Jan 12, 2024 07:44Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen imezilaani vikali Marekani na Uingereza baada ya kufanya mashambulizi makali dhidi ya vituo vyake ndani ya Yemen, na kuonya kuwa vituo vya kijeshi vya nchi hizo vilivyoko katika eneo vitashambuliwa iwapo zitafanya uchokozi zaidi.
-
US, UK zashambulia vituo vya Ansarullah Yemen kwa sababu ya msimamo wake wa kuwahami Wapalestina
Jan 12, 2024 03:55Marekani na Uingereza zimeshambulia vituo kadhaa vya harakati ya Ansarullah kukabiliana na hatua ya harakati hiyo ya wananchi wa Yemen ya kuzishambulia meli zenye uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, kwa sababu ya vita vya mauaji ya kimbari na ya halaiki unavyoendesha utawala huo dhalimu dhidi ya Wapalestina wa Gaza.
-
Ansarullah ya Yemen: Maji ya Kimataifa ni salama kwa meli zote isipokuwa za utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 29, 2023 10:29Harakati ya Muqawama wa Kiiislamu ya Ansarullah ya Yemen imesisitiza kuwa njia za majini za kimataifa ni salama kwa meli zote, isipokuwa meli za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel au zile zinazoelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Ansarullah: Msimu wa baridi kali umekaribia Ulaya; tukichokozwa tutapiga visima na meli za mafuta na gesi
Dec 20, 2023 11:14Mmoja wa viongozi waandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amezionya nchi mbili za Kiarabu kwamba zisithubutu kuingia kwenye muungano wa Bahari Nyekundu wa Marekani na imetangaza wazi kwamba, kama Yemen itashambuliwa, basi harakati hiyo itajibu kwa kupinga visima na meli za maafuta na gesi na haitojali kwamba msimu wa baridi kali umekaribia barani Ulaya.
-
Jeshi la Yemen: Tutalenga na kuteka meli zote za Israel katika Bahari Nyekundu
Nov 20, 2023 03:28Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya nchi hiyo vitashambulia na kuteka meli zote zinazomilikiwa au kusimamiwa na kampuni za utawala wa Kizayuni wa Israel, ikiwa ni hatua kuliunga mkono taifa la Palestina, wakati huu ambapo Wazayuni wanaendelea kumwaga damu za Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Ansarullah ya Yemen yakosoa vikali ulegevu walioonyesha watawala wa Kiarabu mbele ya Wazayuni
Nov 11, 2023 12:03Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesisitiza kuwa itaendelea kuliunga mkono kwa dhati taifa na Muqawama wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na imekosoa vikali udhaifu na ulegevu ulioonyeshwa na watawala wa nchi za Kiarabu mbele ya utawala dhalimu wa Kizayuni wa Israel.
-
Ansarullah ya Yemen yafanya shambulizi la droni dhidi ya Israel
Nov 01, 2023 03:01Harakati ya Ansarullah ya Yemen imefanya mashambulizi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani.
-
Ansarullah: Kimbunga cha al-Aqsa ni ushindi wa kihistoria
Oct 11, 2023 02:35Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amepongeza Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa na kueleza kuwa, shambulizi la kushtukiza la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (HAMAS) na makundi mengine ya mapambano ya Palestina dhidi ya Israel ni ushindi wa kihistoria ambao umeleta mlingano wa nguvu na kuusabababishia hasara kubwa utawala wa Kizayuni wa Israel.