-
Ansarullah: Kimbunga cha al-Aqsa ni ushindi wa kihistoria
Oct 10, 2023 23:05Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amepongeza Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa na kueleza kuwa, shambulizi la kushtukiza la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (HAMAS) na makundi mengine ya mapambano ya Palestina dhidi ya Israel ni ushindi wa kihistoria ambao umeleta mlingano wa nguvu na kuusabababishia hasara kubwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ansarullah yatangaza kushikamana na taifa la Syria
Oct 06, 2023 03:40Ofisi ya kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen imelaani mashambulizi ya makundi ya kigaidi katika chuo cha kijeshi cha Homs nchini Syria.
-
Ansarullah: Kuondolewa serikali madarakani limekuwa takwa la wananchi
Oct 02, 2023 04:37Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesisitiza kuwa, kuondolewa madarakani serikali ya Abdul Aziz bin Habtoor limekuwa matakwa la wananchi.
-
Ansarullah yalaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Mar 30, 2023 22:41Harakati ya Ansarullah ya Yemen imelaani vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Denmark na katika nchi nyingine za Ulaya.
-
Ali Al-Kahum: Amani nchini Yemen itapatikana kwa kufukuzwa vikosi vya kigeni
Feb 27, 2023 07:51Mjumbe wa Idara ya Siasa ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema Marekani na Uingereza zinakwamisha operesheni za misaada ya kibinadamu nchini Yemen na kusisitiza kuwa: Njia ya kurejesha amani nchini humo inapitia lango la kufukuzwa vikosi vya kigeni kutoka nchi hiyo.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Imam Hussein (AS) alisimama kupambana ili kuuokoa Uislamu
Aug 08, 2022 22:24Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Sayyid Abdulmalik Badruddin Al-Houthi amesema, Imam Hussein (AS) alisimama kupambana kwa ajili ya kuuokoa Uislamu na shari ya maadui.
-
Ansarullah yalaani vikali mwandishi wa habari mzayuni kukanyaga ardhi tukufu ya Makka
Jul 23, 2022 21:53Ofisi ya kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen imelaani vikali hatua ya Saudi Arabia ya kutoa kibali kwa mwandishi wa habari mzayuni wa Israel kufika kwenye ardhi tukufu ya Makka.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Saudia inawazuia baadhi ya Waislamu kutekeleza Hija kwa sababu za kisiasa
Jul 09, 2022 05:18Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, utawala wa Saudi Arabia unawazuia baadhi ya Waislamu kutekeleza ibada ya Hija kwa sababu ya misimamo ya kisiasa ya ukoo wa Aal Saud au misimamo ya Marekani na Israel dhidi ya Waislamu hao.
-
Ansarullah: Kumvunjia heshima Mtume SAW ni kufilisika kimaadili
Jun 06, 2022 05:43Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kumvunjia heshima Bwana Mtume SAW ni ishara ya wazi ya kufilisika kimaadili.
-
Ansarullah yawapongeza Wapalestina kwa kusimama kidete kuulinda Msikiti wa al Aqsa
May 30, 2022 05:49Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imelipongeza taifa la Palestina kwa kusimama kiume kukihami na kukilinda Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Msikiti wa al Aqsa katika siku ya "Maandamano ya Bendera."