-
Kongresi ya Taifa ya Yemen: Uhusiano na Ansarullah ni muhimu na wa kimkakati
Feb 07, 2022 02:56Kongresi ya Taifa ya Yemen imesema kuwa upo uhusiano imara kati ya viongozi wa chama hicho na harakati ya Ansarullah na kwamba propaganda na hujuma za vyombo vya habari za mamluki adui na wanaofanya khiyana haziathiri kivyovyote uhusinao wao huo.
-
Ansarullah ya Yemen yaikomboa Ma'rib toka mikononi mwa wavamizi
Oct 03, 2021 12:41Harakati ya Ansarullah ya Yemen imefanikiwa kuukomboa mkoa wa kistratajia wa Ma'rib uliokuwa chini ya udhibiti wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Ansarullah yazionya US na Saudia zijiandae kupata pigo Yemen
Aug 31, 2021 13:30Baada ya Marekani kuondoka kwa madhila na fedheha kubwa nchini Afghanistan licha ya kutumia matrilioni ya dola, Harakati ya Ansarullah ya Yemen imezitaka Marekani na Saudi Arabia ziandae ramani ya njia ya kuondoka Yemen na kuonya kuwa, nchi hiyo ya Kiarabu karibu hivi itageuka na kuwa kaburi la wavamizi.
-
Al Houthi: Saudi Arabia ijifunze kutokana na kushindwa Marekani huko Afghanistan
Aug 20, 2021 00:06Mjumbe wa ngazi ya juu wa Baraza la Kisiasa la harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia unapaswa kujifunza na kupata ibra kutokana na tajiriba ya kushindwa na kufeli Marekani huko Afghanistan.
-
Ansarullah: Marekani inazuia suhulu ya kisiasa katika mgogoro wa Yemen
Aug 12, 2021 08:06Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Marekani inakwamisha na kuzuia kupatikana suluhisho la kisiasa katika mgogoro unaoikabili nchi hiyo maskini ya Kiarabu inayozongwa na vita na mapigano tokea mwaka 2015.
-
Ansarullah: Hatujawahi na kamwe hatutafuti utambulisho wetu kutoka kwa Marekani
Jun 26, 2021 07:16Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen ametuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter na kusisitiza kuwa, harakati hiyo ya wananchi wa Yemen kamwe haijawahi kufikiria kutafuta utambulisho wake kutoka kwa Marekani na haina haja ya kutambuliwa rasmi na dola hilo la kiistikbari.
-
Ansarullah yakosoa kauli ghalati ya jenerali wa kijeshi wa US dhidi ya Yemen
Jun 21, 2021 02:49Mwanachama wa ngazi ya juu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amemkosoa vikali Kamanda Mkuu wa Kamandi Kuu ya Kijeshi ya Marekani (CENTCOM) kwa kutoa matamshi yasiyo na msingi kuwa Sanaa imekataa kuketi kwenye meza ya mazungumzo na kusisitiza kuwa, afisa huyo wa Washington hana ufahamu wowote kuhusu siasa.
-
Ansarullah: Marekani inafadhilisha vita Yemen, haitaki amani
Jun 11, 2021 07:55Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amelaani hatua ya Marekani ya kuliwekea vikwazo vipya taifa hilo la Kiarabu na kusisitiza kuwa, Washington inafadhilisha vita nchini Yemen, na wala haitaki amani kama inavyodai.
-
Ansarullah: Kupambana na tishio la Israel, ni jukumu la kidini la Umma wa Kiislamu
May 07, 2021 04:01Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kukabiliana na vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel ni wajibu na jukumu la kidini la Umma wote wa Kiislamu.
-
Ansarullah yajibu mapigo baada ya Saudia kuua watoto wa Yemen kwa mabomu
Apr 16, 2021 03:33Wanaharakati wa Ansarullah wakishirikiana na vikosi vya jeshi la Yemen wameshambulia kwa makombora na ndege zisizo na rubani (droni) kituo cha mafuta cha Aramco cha Saudi Arabia, siku moja baada ya muungano vamizi unaoongozwa na Riyadh kushambulia kwa mabomu mkoa wa Sa'ada wa kaskazini magharibi mwa Yemen.