-
Waziri Mkuu, Waziri wa Ulinzi wa zamani kupandishwa kizimbani nchini Kuwait
Apr 06, 2021 02:47Kamati ya maalumu ya uchunguzi ya Mahakama ya Mawaziri ya serikali ya Kuwait imetoa amri ya kupandishwa kizimbani Jabir al Mubarak, Waziri Mkuu wa zamani na Khalid al Jarrah, waziri wa zamani wa ulinzi pamoja na viongozi wengine wanne wa nchi hiyo, kwa tuhuma za ufisadi na wizi wa fedha.
-
"Kuiondoa Ansarullah katika orodha ya ugaidi ni hadaa ya Marekani"
Apr 04, 2021 11:00Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema hatua ya Marekani ya kutangaza eti imeliondoa jina la Ansarullah katika orodha yake ya makundi ya kigaidi ni hadaa tupu na mchezo mchafu wa kisiasa.
-
Ripoti ya kwanza ya "Hiroshima ya Yemen" yasambazwa na Ansarullah
Apr 02, 2021 06:35Idara ya masuala ya haki na sheria ya Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen, imesambaza ripoti ya kwanza ya kisheria na ya matukio ya kweli kuhusu jinai za kutisha na za kinyama za Saudi Arabia na Marekani dhidi ya wananchi wa Yemen. Ripoti hiyo imepewa jina la Hiroshima ya Yemen.
-
Msemaji wa Ansarullah; vita vya Yemen ni soko la kuuzia silaha za Marekani na Ulaya
Mar 25, 2021 08:00Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa vita vya Yemen ni soko la kuuzia silaha za kivita za Marekani na Ulaya.
-
Ansarullah: Hii ndiyo sababu iliyotufanya tuache kuishambulia kijeshi Imarati
Mar 19, 2021 08:04Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya Asarullah ya Yemen amefichua kuwa, barua ya kiongozi wa harakati hiyo, Sayyid Abdul Malik al Houthi kwa Umoja wa Falme za Kiarabu iliyoipelekea Abu Dhabi ikomeshe mashambulio yake nchini Yemen, ndiyo sababu iliyoifanya Ansarullah isimamishe mashambulizi yake ya kulipiza kisasi dhidi ya Imarati.
-
Makumi ya mamluki wa muungano vamizi wa Saudia waangamizwa na kujeruhiwa katika mapigano Taiz, Yemen
Mar 19, 2021 02:47Makumi ya mamluki wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano baina yao na jeshi na makundi ya kujitolea ya wananchi wa Yemen katika mkoa wa Taiz nchini humo.
-
Ansarullah: Marekani haitaki amani irejee Yemen
Mar 16, 2021 08:16Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema: Serikali ya Marekani kwa matamshi yake ya upotoshaji na yasiyo ya kimantiki imeonyesha kuwa haitaki kuona amani ikirejea Yemen."
-
Kuacha kushambuliwa na kuzingirwa Yemen, sharti la Ansarullah la kutoipiga kwa makombora Saudia
Mar 14, 2021 02:37Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa nchi hiyo vitaacha kuipiga kwa makombora Saudi Arabia iwapo tu wavamizi wa nchi yao wataacha kuizingira na kuishambulia Yemen.
-
Ansarullah: Makombora yetu ni jinamizi kwa wavamizi wa Yemen
Mar 10, 2021 07:15Mjumbe mmoja wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, makombora ya balestiki ya nchi hiyo ni jinamizi kwa maadui.
-
Saudia: Aramco na bandari ya mafuta ya Ras Tanura zimeshambuliwa kwa makombora ya Ansarullah
Mar 08, 2021 07:42Wizara ya Ulinzi ya Saudi Arabia imethibitisha kuwa vikosi vya ulinzi vya Yemen vimefanya mashambulio makubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani ndani ya ardhi ya nchi hiyo.