-
Answaarullah: Saudia acheni kuishambulia miji ya Yemen ili nasi tusiishambulie miji yenu
Mar 01, 2021 06:50Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Answarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, harakati hiyo itaendelea kuishambulia miji na maeneo ya Saudi Arabia maadamu uko wa Aal Saud unaendelea kuishambulia miji ya Yemen.
-
Ansarullah: UN haina ujasiri wa kulaani mzingiro wa Saudia na washirika wake dhidi ya Yemen
Feb 25, 2021 10:23Msemaji wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesisitiza ulazima wa kudumishwa mapambano ya kukabiliana na wavamizi wa nchi hiyo na kusema kuwa, Umoja wa Mataifa hauna hata ujasiri wa kulaani mzingiro wa Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya taifa la Yemen.
-
Ansarullah: Wito wa Biden wa kusitishwa vita Yemen si wa kweli
Feb 18, 2021 06:35Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amejibu uvumi unaosambazwa kwamba Marekani inafanya juhudi za kusimamisha mashambulizi dhidi ya Yemen akisema serikali ya Washington ndiyo kinara na kamanda wa mashambulizi yanayofanywa dhidi ya Yemen na sababu kuu ya masaibu ya taifa la nchi hiyo.
-
Ansarullah yatoa indhari kwa mashirika ya ndege kutotumia viwanja vya ndege vya Saudia
Feb 11, 2021 08:03Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Asarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, Utawala wa Aal Saud unatumia viwanja vya ndege vya Saudia kutekeleza mashambulizi dhidi ya Yemen na kuyatahadharisha mashirika ya ndege kutotumia viwanja hivyo.
-
"Siri ya muqawama wa miaka 6 ya wananchi wa Yemen ni kushikamana vilivyo na Uislamu"
Feb 03, 2021 08:05Katibu Mkuu wa harakati ya Answarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, kushikamana vilivyo na Uislamu ndiyo siri iliyolifanya taifa la Yemen kusimama kidete kukabiliana na mashambulizi ya kila upande na makubwa; ya miaka sita sasa kutoka kwa wavamizi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Harakati ya Ansarullah yataka Umoja wa Mataifa ujadili maafa ya Yemen
Jan 30, 2021 12:32Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa wito kwa wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wajadili hali mbaya ya kibinaadamu nchini Yemen ambayo imetokana na uvamizi wa muungano unaoongozwa na Saudia.
-
Matamshi yenye mgongano ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia kuhusu vita vya Yemen
Jan 24, 2021 09:54Katika matamshi yanayoonyesha mgongano wa wazi, Faisal bin Farhan bin Abdullah, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amedai kwamba utawala wa Riyadh unataka kusimamisha vita vyake vya kichokozi dhidi ya Yemen na wakati huo huo kukaribisha hatua ya utawala ulioondoka madarakani wa Marekani ya kuituhumu Ansarullah kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Jumbe za kimataifa za kupinga tuhuma za ugaidi za Marekani dhidi ya Ansarullah ya Yemen
Jan 19, 2021 02:35Hivi karibuni Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alitangaza kuwa serikali ya Rais Donald Trump imeijulisha rasmi Congress ya nchi hiyo kuwa imeliweka kundi la mapambano ya Kiislamu la Ansarullah la nchini Yemen katika orodha ya makundi yanayotuhumiwa kuunga mkono ugaidi, uamuzi ambao umekabiliwa na upinzani mkali wa kimataifa.
-
Wayemen waandamana kuilaani Marekani kwa kuiweka Ansarullah katika orodha nyeusi
Jan 17, 2021 07:55Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano katika mkoa wa Sa'ada, kaskazini magharibi mwa nchi kulaani hatua ya Marekani ya kuliweka jina la Ansarullah katika orodha yake ya makundi ya kigaidi na kuitaka ifutilea mbali uamuzi wake huo.
-
Iran yajibu baada ya Marekani kuiweka Answarullah katika orodha ya makundi ya kigaidi
Jan 14, 2021 08:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, kitendo cha serikali ya Marekani cha kuiingiza harakati ya wananchi ya Aswarullah katika orodha ya makundi ya kigaidi ni kukamilisha njama haribifu za vita vya kikatili na dhulma walivyobebeshwa wananchi wasio na ulinzi wa Yemen.