-
Mahojino na Sheikh Ghauth Nyambwa akiwa Karbala Iraq
Nov 11, 2017 11:05Kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain ambazo hufikia kileleni mwezi 20 Mfunguo Tano Safar kila mwaka huko Karbala Iraq, zinawajumuisha pamoja mamilioni ya wapenzi wa Ahlul Bayt AS kutoka kona zote za dunia.
-
Polisi Nigeria yatumia mabomu kuvunja Arubaini ya Imam Hussein AS
Nov 11, 2017 03:13Polisi nchini Nigeria imetumia mabomu ya gesi ya kutoa machozi kuvunja matembezi ya amani ya waumini wa Kiislamu waliokuwa wakishiriki maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (AS), mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) katika mji mkuu Abuja.
-
Arubaini ya Imam Husain AS 1437 Hijria
Nov 08, 2017 05:27Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Takribani miaka 1376 iliyopita, ilifanyika majlisi ya kwanza ya siku ya Arubaini tangu kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) Imam Husain bin Ali (AS) akiwa na watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume ambao waliuawa shahidi tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria.
-
Arubaini; kukamilika Ashura
Nov 06, 2017 10:26Arubaini ni siku ya kufikia ukamilifu. Ukamilifu wa Ashura ni Arubaini; ukamilifu wa matendo, harakati na juhudi zote. Karbala katika Siku ya Arubaini huwa ni kioo cha waliofikia kilele cha umaanawi kiasi kwamba ulegevu, uzembe, udhaifu na kurejea nyuma huwa havina nafasi tena katika hali hiyo.
-
Wafanyaziara milioni mbili kutoka Iran waingia Iraq kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein AS
Nov 06, 2017 09:10Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iraq amesema hadi kufikia jana Jumapili Alasiri, wafanyaziara milioni mbili kutoka Iran walikuwa wameingia Iraq kwa ajili Arubaini ya Imam Hussein AS.
-
Arubaini ya Imam Husain AS katika Picha
Nov 05, 2017 10:54Waislamu kutoka kona mbalimbali za dunia wanazidi kumiminika Karbala kwa ajili ya Arubaini ya Imam Husain AS.
-
Arubaini ya Imam Hussein AS kwa Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Nov 03, 2017 06:24Assalam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuhu. Karibuni kujiunga nasi katika makala hii inayowajieni kwa munasaba wa siku hizi za Arubaini ya Imam Hussein AS. Makala yetu ya leo itaangazia siri hii kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei. Karibuni kujiunga nami hadi mwisho.
-
Imam Hussein, Nguzo ya Umoja na Mshikamano wa Kiislamu
Oct 31, 2017 10:40Zimebakia siku chache tu hadi siku ya Arubaini ya Imam Hussein (as) na barabara zote za kuelekea katika mji wa Karbala nchini Iraq zimefurika watu kama mto wa maji unaoelekea katika mji mtakatifu wa Karbala.
-
Jahangiri: Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya amani na ukombozi
Nov 21, 2016 03:01Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya amani na ukombozi.
-
Wairani waungana na dunia katika kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS
Nov 20, 2016 08:17Wananchi wa matabaka yote wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameungana na dunia katika kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, aliyeuawa shahidi katika jangwa la Karbala nchini Iraq, mwaka wa 61 Hijria.